Diva, tunaishi katika jamii ambayo mwanamke akiwa na miaka kuanzia 30 anaitwa bibi, sasa Rihanna is 32 ni kikongwe? Tanzania ushamba mzigo

Diva mwenyewe ashagonga 50 bado anataka aitwe binti wakati hata ngozi ya usoni inaonesha makunyanzi kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom