M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,843 Reaction score 35,442 Jan 19, 2020 #21 Diva mwenyewe ashagonga 50 bado anataka aitwe binti wakati hata ngozi ya usoni inaonesha makunyanzi kabisa Sent from my iPhone using JamiiForums
Diva mwenyewe ashagonga 50 bado anataka aitwe binti wakati hata ngozi ya usoni inaonesha makunyanzi kabisa Sent from my iPhone using JamiiForums
WiseLady JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 3,268 Reaction score 531 Jan 19, 2020 #22 Savimbi Jr said: Nawakumbusha Mabibi wa Bongo 30-40 kwamba Sade amegonga 61. View attachment 1327179 Click to expand... Ila Sade hazeeki jamani!
Savimbi Jr said: Nawakumbusha Mabibi wa Bongo 30-40 kwamba Sade amegonga 61. View attachment 1327179 Click to expand... Ila Sade hazeeki jamani!