Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na akiwa na hela zake anadanga, na unaona kaajiriwa na anapiga kazi , only in Bongo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wa kwetu wanachoshwa na mambo yao mengi yaani mchanyato si mchanyato taabu tupuNawakumbusha Mabibi wa Bongo 30-40 kwamba Sade amegonga 61.
View attachment 1327179
Doh! Nimecheka sana mkuu.Acha kufananisha rihanna na madungaembe.
Sawa dada divana akiwa na hela zake anadanga, na unaona kaajiriwa na anapiga kazi , only in Bongo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwambie Rihanna ameajiri, je huyo Diva kaajiri nani?na akiwa na hela zake anadanga, na unaona kaajiriwa na anapiga kazi , only in Bongo
Sent from my iPhone using JamiiForums