Sasa kumbe hujui hata kuweka audio halafu unasema tusikilize, tusikilize nini? Umbea utakuua mtoto wa kiume
Diamond hana heshima kabisa kwa wanawake, huwezi kumjibu mwanamke vile ile ni dharau kwa wanawake wote, binafsi kama mwanaume si kufarahishwa
Diamond hana heshima kabisa kwa wanawake, huwezi kumjibu mwanamke vile ile ni dharau kwa wanawake wote, binafsi kama mwanaume si kufarahishwa
Diva na sauti yake ya kujiamini ikiambatana na nyodo ajibizana na Diamond On Air kisa mambo ya Instagram.
nimeisikiliza hii clip nimecheka sana...dazen alivyocheka ndio kimempanikisha huyu sist duu mshamba..
naomba link mkuu niiskilize
hii habari ya kukazana TCRA hawafungii redio?
Nani amkaze mwenzie hapo. Sijaelewa.Mkuu umeniwahi kuipost....inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, daimond Alikuwa amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic.....habari diyo hiyo.
Diva na sauti yake ya kujiamini ikiambatana na nyodo ajibizana na Diamond On Air kisa mambo ya Instagram.