Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

oooooohh!! my god! mb 8 nimepoteza mb 2 kufungua huu uzi!
 
Diamond hana heshima kabisa kwa wanawake, huwezi kumjibu mwanamke vile ile ni dharau kwa wanawake wote, binafsi kama mwanaume si kufarahishwa
 
Hiyo itakuwa promo ya nyimbo mpya ya diamond kamshirikisha diva.....tujikumbushe ya mziwanda na shishi bebe
 
Diamond hana heshima kabisa kwa wanawake, huwezi kumjibu mwanamke vile ile ni dharau kwa wanawake wote, binafsi kama mwanaume si kufarahishwa

Diva ni mshenzi sana yule dada
She get what she deserve

Chibu ni mtoto wa uswazi tu dont forget that
Diva kamwaga mboga mwenzake akamwaga ugali kabisa halafu anaanza kulia lia kwa kivuli cha genda
 
Diva na sauti yake ya kujiamini ikiambatana na nyodo ajibizana na Diamond On Air kisa mambo ya Instagram.

Sikiliza hapa [video]https://youtu.be/D0Acx_d3NOA[/video]
 
nimeisikiliza hii clip nimecheka sana...dazen alivyocheka ndio kimempanikisha huyu sist duu mshamba..
 
naomba link mkuu niiskilize

m.youtube.com/watch?v=D0Acx_d3NOA&itct=CCQQpDAYACITCOK3reXW6scCFZMzHAodA3kK0VIaZGl2YSBuYSBkaWFtb25kIHdhamliaXphbmE%3D&gl=TZ&client=mv-google&hl=en-GB

sikiliza uongeze siku za kuishi
 
Mkuu umeniwahi kuipost....inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, daimond Alikuwa amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic.....habari diyo hiyo.
Nani amkaze mwenzie hapo. Sijaelewa.
 
Wadada kugombana ni kawaida tu...
Diva na sauti yake ya kujiamini ikiambatana na nyodo ajibizana na Diamond On Air kisa mambo ya Instagram.
attachment.php
 
Back
Top Bottom