Diva: Wanaume wamezidi kunitongza, nabadili laini mara 7 kwa mwezi.

huyo a;liyempata kakubali kulipa ile mahari ya 500mil? au
 
Huyo ni mpumbavu tu nae ajitangaza ili apate mabwana,kubadili laini mara saba kwa mwezi? Shenzi type!!
 
Diva diva diva, acha basi uwongo dadangu, nishawahi kuwa na namba yako miaka 3 ilopita na nlikuwa nawasiliana naye ananipigia na mm nampigia japo si kwa mahusiano bali ni kwa kibiashara, biashara ilipoisha sijampigia tena. Nimeona huu uzi nikaibip hiyo namba ikaita nimejaribu kutest kutuma hela imeleta jina lako. Diva mwongooooooo
 
TCRA wamuhoji huyu binti kwasababu nafahamu you can register only 3 numbers per ID
 
Loh kweli shuzi limepata mjambaji na mjambiwa
 
Muongo huyo namba zake tunazo ni zile zile hajabadilisha WhatsApp kila baada ya tym anabadili profile
 
Namba zake si huwa anaziweka hadharani yeye mwenyewe. Aache ufala.
 
Mimi at a simpendi akp kabint
 
Diva si wakutongoza amkatae mtu. Diva mwenyewe ndo huwa anatongoza wanaume so. Hata namba habadili. Hivi mtu usipompa namba yako ataipataje bana. Diva huwa anaitangaza namba yake kwenye kile.kipindi chake cha malavidavi. Sasa uki air namba yako public kwenye redio hata school boys lazima akuandikie meseji tu.
 
Hivi kumbe ndio mbaya hivi? Asie radio zinaficha mengi
 
Diva angekuwaga mzuri nyie wanawake mngetafutaga dunia nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…