Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Sawaaa shuzi limepata mjambajiMambo yake haya endani na ya Diva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaaa shuzi limepata mjambajiMambo yake haya endani na ya Diva
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sawaaa shuzi limepata mjambaji
huyo a;liyempata kakubali kulipa ile mahari ya 500mil? au
Unaweza kuta tayari wajanja washafungua washeli zake!!!!!!vijana si mumle t.go huyu atulie maana anahangaika sana kama mtetea wa kutaga .
Mh yaan kubwa yake inatoa harufu ya kimba.Nzi wakishaona sehemu ina mavi lazma wajazane tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji1] [emoji1] [emoji1]
Demie huu msemo una apply kila sehemu?
Loh kweli shuzi limepata mjambaji na mjambiwaDiva diva diva, acha basi uwongo dadangu, nishawahi kuwa na namba yako miaka 3 ilopita na nlikuwa nawasiliana naye ananipigia na mm nampigia japo si kwa mahusiano bali ni kwa kibiashara, biashara ilipoisha sijampigia tena. Nimeona huu uzi nikaibip hiyo namba ikaita nimejaribu kutest kutuma hela imeleta jina lako. Diva mwongooooooo
Mimi at a simpendi akp kabint![]()
Mtangazaji maarufu wa kituo cha Clouds FM, Diva The Bawse amedai kuwa baada ya kumwagana na aliyekuwa Boyfriend wake Heri Muziki amekuwa akipata usumbufu kutoka kwa wanaume hadi inakuwa kero.
Akifunguka kwenye mahojiano yake na Bongo5, Diva amesema kupitia simu yake ya mkononi amekuwa akipata meseji zaidi ya 2,000 kwa siku na zote kutoka kwa wanaume wengi wakimtongoza, kitu ambacho kila mwezi kinamfanya abadilishe laini zake mara saba.
“Maisha ya kuwa single ni mazuri ingawaje nimekuwa nikipata usumbufu mkubwa kwenye simu yangu yaani napata meseji zaidi ya 2,000 na zote kutoka kwa wanaume, kitu ambacho kinanipa wakati mgumu kwani wananifanya nibadili laini mara saba kwa mwezi,“amesema Diva.
Mbali na usumbufu huo, Diva amesema kuwa kwenye ukurasa wake wa Instagram pia amekuwa akikumbana na usumbufu kama huo DM.
Kwa sasa mrembo huyo amesema kuwa ameshapata mwanaume ambaye ndiye anaamini kuwa atakuwa baba watoto wake siku za usoni ingawaje amekataa kumuweka wazi kwa sasa.