Maisha huku yanahitaji nidhamu ya hali ya juu, ukifanikiwa katika hilo basi maisha kwako yatakuwa rahisi sana na utatimiza ndoto zako.Mkuu vipi lakn hali halisi ya maisha hapo USA na unashauri nini kwa mwenye ndoto ya kuja huko!
Ok nimekupata mkuu na vipi upatikanaji wa kazi non proffesional na malipo take ipoje?Maisha huku yanahitaji nidhamu ya hali ya juu, ukifanikiwa katika hilo basi maisha kwako yatakuwa rahisi sana na utatimiza ndoto zako.
Non professional jobs zipo nyingi mno hata huwezi kuzimaliza, malipo inategemea na aina ya kazi.Ok nimekupata mkuu na vipi upatikanaji wa kazi non proffesional na malipo take ipoje?
Mkuu labda kdg ungetoa mtazamo wa ndani kdg mfano hzo non professional job za malipo madogo yaweza kuwa ngap na malipo ya juu kabisa yaweza kuwa ngapi na kodi wanakataje gharama za maisha zikoje na vingine vyote vya ziada ambavyo utaona inafaa kutujulisha sisi vijana wenzako tunaosaka tonge ila tukiwa na ndoto siku moja kufika hapo USA!Non professional jobs zipo nyingi mno hata huwezi kuzimaliza, malipo inategemea na aina ya kazi.
Non professional jobs zipo nyingi mno hata huwezi kuzimaliza, malipo inategemea na aina ya kazi.
Mkuu majibu tafadhari?Mkuu labda kdg ungetoa mtazamo wa ndani kdg mfano hzo non professional job za malipo madogo yaweza kuwa ngap na malipo ya juu kabisa yaweza kuwa ngapi na kodi wanakataje gharama za maisha zikoje na vingine vyote vya ziada ambavyo utaona inafaa kutujulisha sisi vijana wenzako tunaosaka tonge ila tukiwa na ndoto siku moja kufika hapo USA!
Sawa kiongozi, ngoja nikiwa free nitakujibu vizuri.
Mara baadae ya kuchaguliwa kuna form maalum unatakiwa kuijaza online inaitwa DS-260,mara baadae ya hapo utatumiwa barua itakayokuonyesha tarehe ya interview. Kabla ya interview utatakiwa kwenda kufanya vipimo hospitali pamoja na kupata Police clearance certificate, baada ya hapo ndio utaenda ubalozi kufanya interview.
GHARAMA UTAKAZO TUMIA.
1.Medical gharama yake ni kama milioni 1.
2.Interview ni dollar 330
3.Police clearance certificate ni sh.2500.
Note: Mara baada ya kufaulu interview ubalozini kuna form utapewa unatakiwa kulipia kiasi cha dollar 220 hii ni kwaajili ya kuprocess green card yako.
Kuhusu nauli na gharama nyinginezo utatakiwa kujilipia mwenyewe, serikali ya Marekani haikulipii chochote.
Hii fursa inayotolewa na Serikali ya Marekani kusaidia watu wenye ndoto za kuishi, kufanya kazi, kufanya biashara na kusoma Marekani pasipo kutumia mlolongo mrefu. Kama kuna mahali hujanielewa unaweza kuniuliza.