Divide et impera!

Divide et impera!

Status
Not open for further replies.

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Divide et impera (divide and Rule) Ni neno la Kirumi lililobuniwa na Mwanafalsafa Niccolo Machiavelli aliyeishi kwenye karne ya 16 huko Barani Ulaya!
Alichomaanisha ni kwamba wewe kama Mtawala ili uweze kufanikiwa kuwatala Watu ni lazima uwagawanye Watu ambao siku zote walikuwa pamoja kwenye makundi mengi madogo madogo...

Kama vile Himaya ya warumi ilivyokuwa inafanya kwenye makoloni yake yaani wale waliokuwa wanatawaliwa waliwekwa kwenye makundi madogo madogo na ushirikiano baina ya haya makundi ilikuwa ni marufuku, bali haya makundi yalikuwa tu kila moja kwa wakati wake wanaripoti moja kwa moja kwa watawala warumi na hivyo ikawa rahisi kuwatawala!

Na hiki ndicho kilichotokea nchini Kenya, Wazungu walijua ya kwamba ili waweze kuwatawala Waafrika (Wakenya) ni lazima wawagawanye kwenye makundi madogo madogo ambayo hapo mwanzo hayakuwepo ambayo leo hii tunayaita Makabila!

Wazungu walianzisha haya waliyoyaita Makabila wakasema ninyi mnaoishi hapa mtaitwa Wakikuyu, na ninyi Mtaitwa Wajaluo ninyi mnaoishi pale mtaitwa Waluya na nyote ninyi mnaripoti moja kwa moja kwangu na ni MARUFUKU kutengeneza UMOJA baina yenu mkiwa na tatizo mnakuja moja kwa moja kwangu na SIYO kulitatua ninyi wenyewe na ndio maana mpaka leo hii utasikia Kiongozi fulani wa Kenya kakimbilia Uingereza kushitaki kwamba Wakikuyu ama Waluo inategemea anatoka kundi gani wanataka kumuua na hawezi kwenda popote pale kushitaki isipokuwa Uingereza hawezi kwenda Tanzania, Afrika Kusini ama Uchina au hata India na Ujerumani au Uhispania bali atakwenda Uingereza kushitaki!

Kumbuka ya kwamba kabla ya kuja kwa Waingereza nchini Kenya kulikuwa hakuna kitu kama Mkikuyu ama Mluya na ndio maana hata hao wanaojiita Waluya kwa mfano hawaelewani wote ni mzumgu tu aliwaambia ninyi kuanzia hapa mpaka pale mnaitwa Waluya na ninyi kuanzia pale mpaka hapa ni Wajaluo na wa kule ni Wakalenjili na hamna Uhusiano na mkiwa na shida mnakuja kwangu!

Hivyo Amani ya kweli nchini Kenya itapatikana tu kama mkiacha kwenda kwa Mtawala kuripoti matatizo yenu bali mkianza kuongea wenyewe kwa wenyewe na kufuta neno Kabila katika Kamusi zenu na kuweka kwenye Katiba kabisa kwamba Kenya hakuna Kabila bali kuna Taifa la Wakenya!
 
Kafanye uatafiti tena halafu ujipange upya, hivyo ina maana kabla ujio wa mzungu Tanzania hakukuwa na makabila yanayoitwa Nyakyusa, Hehe, Chaga n.k.
 
Kulikuwa Hakuna!

Hayo yote unayoyaita Makabila yaligunduliwa/anzishwa na Wazungu/Waarabu!
 
Duh! Wabongo somo la historia huwa linawatatiza sana, na hii inatokana na kuwa uhuru wa nchi mlipewa tu kwa sahani ndio maana huwa hata hamna shughuli. Kuna kadhaa niliwahi wauliza kama wanajua jinsi walivyopata uhuru na majibu yao yalikua vichekesho tupu.

Kasome historia kaka, rudi hadi shule ya msingi ama mtafute mwanafunzi wa shule ya msingi Kenya akupe darasa kuhusu historia ya Africa kabla ujio wa mzungu.
 
Wewe ndio hakuna kitu unaelewa na kila unachokijua ndicho Wazungu walichokwambia na ukaamini!
Nimekwambia haya mnayoyaita makabila iwe Kenya ama TZ yalibuniwa na Wazungu na kabla ya kuja Wazungu ama Waarabu huku kwetu hayakuwepo!
Kwa mfano Wachaga hakuna kitu kama Kabila la wachaga Dunia Hii wala Wanyakyusa hao unaowaita Wachaga ni jamii ya watu waliokuwa wanaongea Lugha zao tofauti na wanaishi hili Eneo wanaloishi leo hii, Wajerumani walivyokuja ndio wakawapa jina Wachaga, wakasema ninyi mnaoishi Eneo hili mtaitwa Wachaga na iwe hivyo na kweli ikawa lkn kabla ya hapo kulikuwa hakuna Wachaga kama wanavyojulikana leo na kwa Wahaya ama sijui Wanyamwezi ni hivyo hivyo!
 
Mh blaza hapa umeniacha njiapanda kidogo, kwa iyo wachaga wenyewe walikuwa wanajiitaje kwa mfano, au hawakuwa na jina hadi mkoloni ndio akawapa, na chief mkwawa wa wahehe mbona alipigana na wajerumani kabla hajaanza pigana nao baba wa mkwawa alikuwa anaitaje milki yake, societies kwa kikabila ziliexist mkuu labda kidogo useme majina wazungu wameongeza which is not vry clear. Kulikuwa na kingdoms kubwa sana afrika magharibi from which wazungu walichukua civilizations wakaenda tumia makwao. Ndio wakatusoma wakaona despite maendeleo yetu kicivilization tulikosa jambo moja, that is unity, mfano ancient egyptian pharaoh were black men thats a fact, they never bothered to expand their teritories ndio maana unaona hadi walikuwa wanajiandalia makaburi yao, pyramids wakihofu maisha afterlife. Quiet the opposite ukifananisha na kina alexander the great, roman empires etc.
Sasa baada ya kujifunza tamaduni safi from africans, wakaja gundua hatuna umoja kivile, sisi weusi ndio tumeanzisha slave trade amongst ancient kingdom, so tatizo kubwa sio kugawanywa tatizo kuu letu weusi ni umimi mwingi sana which simplified kugawanywa kwetu, angalia hata sasa ivi tukienda kwenye ile topic ya lugha. Kenya wakikuyu walikataa kabisa kutumia swahili wakaprefer english na kikuyu. Tz bahati nzuri kabila nyingi walishawishiwa wakakubali kukitumia, though nasikia chaga walibana kidogo, wakaachia.
 
Kafanye uatafiti tena halafu ujipange upya, hivyo ina maana kabla ujio wa mzungu Tanzania hakukuwa na makabila yanayoitwa Nyakyusa, Hehe, Chaga n.k.

wewe huyo huyo unasema hakukuwa na watutsi na wahutu kabla ya mbelgiji!
 
Wakenya mna wivu sana, hadi jinsi tumepata uhuru ni wivu tu mnaona, hata tungemwaga damu mngeponda. Bongo ilikuwa ni koloni la mjerumani, mume wenu england alidandia tu hapakuwa kwake ndio maana akapaachia tu hakuna cha maana alifanya hapa, wajerumani ndio walimwaga damu zao kutawala hapa mwingereza kapewa kimaandishi ni kama kamezeshwa kitu kishatafunwa. Ila kwenu alivuka mipaka hadi kuwapasua mapumbu sababu aliingia gharama mkuu, na hadi sasa you can feel her presence despite kuwafanya mbaya babu zenu. Poleni sana, sasa ulisinganishe sie na nyie. We did the right way and we started from bottom. Na kuhusu history joh! Dont make conclusion kutoka kwa mtu mmoja kama vile unajiteteaga same accusation ikiwalenga.
 
Mh blaza hapa umeniacha njiapanda kidogo, kwa iyo wachaga wenyewe walikuwa wanajiitaje kwa mfano, au hawakuwa na jina hadi mkoloni ndio akawapa, na chief mkwawa wa wahehe mbona alipigana na wajerumani kabla hajaanza pigana nao baba wa mkwawa alikuwa anaitaje milki yake, societies kwa kikabila ziliexist mkuu labda kidogo useme majina wazungu wameongeza which is not vry clear. Kulikuwa na kingdoms kubwa sana afrika magharibi from which wazungu walichukua civilizations wakaenda tumia makwao. Ndio wakatusoma wakaona despite maendeleo yetu kicivilization tulikosa jambo moja, that is unity, mfano ancient egyptian pharaoh were black men thats a fact, they never bothered to expand their teritories ndio maana unaona hadi walikuwa wanajiandalia makaburi yao, pyramids wakihofu maisha afterlife. Quiet the opposite ukifananisha na kina alexander the great, roman empires etc.
Sasa baada ya kujifunza tamaduni safi from africans, wakaja gundua hatuna umoja kivile, sisi weusi ndio tumeanzisha slave trade amongst ancient kingdom, so tatizo kubwa sio kugawanywa tatizo kuu letu weusi ni umimi mwingi sana which simplified kugawanywa kwetu, angalia hata sasa ivi tukienda kwenye ile topic ya lugha. Kenya wakikuyu walikataa kabisa kutumia swahili wakaprefer english na kikuyu. Tz bahati nzuri kabila nyingi walishawishiwa wakakubali kukitumia, though nasikia chaga walibana kidogo, wakaachia.

Nilichomaanisha ni hivi, kabla ya wageni kuja (Wazungu/Waarabu) kulikuwa hakuna Wachaga wala Wahaya kama tuwajuavyo leo hii bali kulikuwa na Jamii za watu waliokuwa wanaoishi maeneo yao na walikuwa hawajiiti Wachaga ama Wanyamwezi na ndio maana hata Lugha ya kichaga haipo kama ulikuwa haufahamu!

Wazungu walivyokuja hasa Wajerumani kwetu TZ ndiyo wakasema hii Jamii yote inayoishi kuanzia hapa mpaka pale ni Wachaga na wanatoka Rombo mpaka Machame na hii kuazia hapa wanaitwa Wameru na wale Wapare!

Na ndio maana Ndani ya hao tunaowaita Wachaga kuna tofauti kubwa sana kwa mfano Mchaga wa Machame ana ukaribu wa kila kitu kuanzia Utamaduni mpaka kuongea na Mmeru (ambaye SIYO Mchaga) kuliko alivyo na ukaribu na Mchaga wa Rombo, Mtu wa Marangu hasikilazani kabisa na Mtu wa Kibosho hivyo kama hawa wangekuwa ni kabila moja basi ni lazima wangeweza kuelewana kwa maana wangeongea lugha moja lkn SIYO!

Hivyo kilichotokea ndio hicho ni kwamba Wazungu walivyokuja wakachora Ramani na ilipoishia wakatoa Jina, wakasema ndani ya hapa ni wagogo, wale Wanyamwezi kuanzia hapa kwenda kule ni wasukuma, na baada ya huu mstari ni Wahaya, na kila mahali ni hivyo hivyo!
 
Kukata huu mjadala na kuufupisha maana sielewi unachovuta, hadi kiishe kichwani ndio tutajadili zaidi. Kwa sasa nitakupa historia kidogo ya kabila langu binafsi. Kabila langu liliitwa Agĩkũyũ (Kiswahili Kikuyu) hata kabla ya ujio wa mzungu. Hilo jina lilitokana na neno la kikwetu Gĩkũyũ maana yake mti aina ya Mukuyu uliozeeka.

Ukiwa tayari nitakuelimisha zaidi.

Kitu ambacho nakubaliana nacho ni ile divide and rule ya mzungu, alichora mipaka na kuamua nani ataishi hadi wapi. Hapakuwa na Mtanzania wala Mkenya.
 
Ninachoongelea mimi siyo kwamba kabla ya Wazungu kuja hao unaowaita Wakikuyu hawakuwepo la hasha, bali Wazungu ndio waliochora mpaka (ramani) na kusema hawa watu wataitwa Wakikuyu na wale wataitwa Wameru na kuanzia pale wataitwa Wakamba, kwa kifupi yule Mzungu aliyechora mwisho wa Wakikuyu angeweza pia kuendeleza mpaka kwa Wameru na Leo hii Wameru wote wangeyeyukia humo kwa Wakikuyu na tungewaita Wakikuyu au kinyume chake!

Nitakupa mfano mdogo sana labda utanielewa ninachomaanisha chukulia Wasamburu ni kwa nini Tanzania hatuwajui? Unafikiri hawapo? Jibu ni hivi Wasamburu wapo ila kwetu sisi tunawaita wote ni Wamasai kwa Maana Mkoloni wa huku kwetu hakuwapa hilo jina lkn ninyi kwenu Kenya Mzungu alichora ramani akasema ninyi Ni wamasai mpaka hapa na kuanzia kwenda huko ni Wasamburu, Mzungu huyo huyo angeweza pia kuchora ramani na kuwajumuisha Wasamburu kwa wamasai na leo hii mngekuwa mnawaita Wamasai tu kama sisi tunavyowaita!

Halafu isitoshe umeshawahi kujiuliza ni kwa nini hayo mnayoyaita Makabila yakiwa mpakani yanaitwa vingine pande zote mbili wakati wote ni wamoja? Ni kwa nini Kenya mnawaita Wataita kwetu tunawaita Wapare wakati Lugha wanyoongea ni moja?

Ni kwanini Mnasema huyu ni Kabila la Kitusi na yule ni Mhutu wakati wote ni watu wamoja na wanaongea Lugha moja? Je unajua hakuna kitu kama kabila la Kitusi ama Kihutu?
Kwanza unajua hao wanaoitwa Watusi kwetu Wanaitwa wahangaza, ni kwa nini?
Ni kwa nini Kwetu tunaiwaita Wahaya Uganda wanaitwa Wabaganda wakati wote wanaongea Lugha moja?

Jiulize kwanza hayo Maswali labda utaelewa ninachomaanisha!
 
Mkuu rudi shule mkuu...kabla ya ujio wa mzungu palikuwa na makabila tens yenye nguvu....fuatilia ujio wa wangoni kutoka afrika ya kusini, walikutana na akina nani kisini mwa Tanzania , jua ilikuwa mwaka gani then ujifunze ukoloni ulikuja kijaje.
Ikumbukwe ukoloni ulianza na partion of Africa, struggle for resources ...sio struggle for societies!! Palikuwa na centralized na non centralized states characterized by tribal segments

Ukija Uganda by then Buganda kingdom, iliyokuja kuzaa banyambo in northen Tanzania baada ya mkoloni ikaja kuwa karagwe, ilikuwa kingdom na ilikiwa divided ethnically.

Nenda kagera palikuwa na walangila, wachwezi na nyarubanja....
Ziliongozwa na wakama/ chiefs
Hawa walikuwa kwenye series ya vita/ conquest and expansion....mmoja akishinda anachukua ardhi ya kabila jingine pamoja na mifugo

Uku tabora palikuwa na chiefs walikuwa wakiongoza kabila zao na jamii zao angainst wengine
Ndio maana tulikuwa na colonial puppet wengi walikuwa viongozi wa makabila weak baada ya vita kuwa ngumu waliungana na mkoloni.

Kama ethnic tribes hazikuwepo, akina chief mangungo uko msovero waliongoza akina nani?
Mkwawa? Akina mirambo waliongoza nchi, kata au chama cha siasa? Si makabila?

Wazanaki wa nyerere walikuwa ni ethnic group toka mbali/withheld ndio maana baada ya kushindwa vita wakaja musoma, wazanaki kwa wakazi wa pale walimaanisha ' umekuja na nn'

Ni ukweli kuwa baada ya kuja mkoloni kuna makabila yaliongezeka kutokana na geographical segmentation na business za mkoloni e.g wazaramia/ wazanaki...makonde .nk nk
Watu kama wachagga walikuwepo na walikuwa na full legal and tribal system iliyompa hard time kuvunjwa.

Ni ngumu mtu aliye hai kukuelewa kuwa wasandawe, watindiga au wahazabe au maasai wamekuja na mkoloni!!

Ni vigumu kusema omukamaka kasagama , omukama Ruhinda , omutwale wooote walikuwa hawapo au walikuja na mkoloni- JE WALIKUWA WANAONGOZA KATA, CHAMA CHA SIASA , MKOA AU TRIBAL SEGMENTS??

Geographical segmentation za mkoloni zilikuja na mkoloni ila tayari palikuwa na pre-colonial tribal societies!

Before mkoloni ,Africa was a fully fledged autonomy.
It had precolonial societies, tribal conquest, And history of its own!!
 
Mkuu rudi shule mkuu...kabla ya ujio wa mzungu palikuwa na makabila tens yenye nguvu....fuatilia ujio wa wangoni kutoka afrika ya kusini, walikutana na akina nani kisini mwa Tanzania , jua ilikuwa mwaka gani then ujifunze ukoloni ulikuja kijaje.
Ikumbukwe ukoloni ulianza na partion of Africa, struggle for resources ...sio struggle for societies!! Palikuwa na centralized na non centralized states characterized by tribal segments

Ukija Uganda by then Buganda kingdom, iliyokuja kuzaa banyambo in northen Tanzania baada ya mkoloni ikaja kuwa karagwe, ilikuwa kingdom na ilikiwa divided ethnically.

Nenda kagera palikuwa na walangila, wachwezi na nyarubanja....
Ziliongozwa na wakama/ chiefs
Hawa walikuwa kwenye series ya vita/ conquest and expansion....mmoja akishinda anachukua ardhi ya kabila jingine pamoja na mifugo

Uku tabora palikuwa na chiefs walikuwa wakiongoza kabila zao na jamii zao angainst wengine
Ndio maana tulikuwa na colonial puppet wengi walikuwa viongozi wa makabila weak baada ya vita kuwa ngumu waliungana na mkoloni.

Kama ethnic tribes hazikuwepo, akina chief mangungo uko msovero waliongoza akina nani?
Mkwawa? Akina mirambo waliongoza nchi, kata au chama cha siasa? Si makabila?

Wazanaki wa nyerere walikuwa ni ethnic group toka mbali/withheld ndio maana baada ya kushindwa vita wakaja musoma, wazanaki kwa wakazi wa pale walimaanisha ' umekuja na nn'

Ni ukweli kuwa baada ya kuja mkoloni kuna makabila yaliongezeka kutokana na geographical segmentation na business za mkoloni e.g wazaramia/ wazanaki...makonde .nk nk
Watu kama wachagga walikuwepo na walikuwa na full legal and tribal system iliyompa hard time kuvunjwa.

Ni ngumu mtu aliye hai kukuelewa kuwa wasandawe, watindiga au wahazabe au maasai wamekuja na mkoloni!!

Ni vigumu kusema omukamaka

Hayo yote unayoyandika Mzungu ndio amekwambia!
Hata wewe bado haunielewi, sikusema kwamba kulikuwa hamna watu wanaongea Lugha mbalimbali la hasha, bali nimesema hao unaowaita Wangoni Wazungu ndio waliwabatiza hilo jina hata kusema wametokea Afrika Kusini ni Wazungu ndio walituambia, Mzungu huyo huyo pia angeweza kuwaita hao Wangoni Wamatingo na leo hii ungekuwa hapa unasema Wamatingo wametokea AK!
 
Halafu unasema Wachaga walikuwepo kabla ya Ukoloni una Uhakika? Halafu walikuwa wanaongea Lugha Gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom