Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Unauliza swali ktk jambo lisilokuwepo na obviously huwezi kupata jibu lake...

Mwaka huu hayo mambo hayapo. Atakayeshinda ndiye atakayetangazwa....

Mwaka huu hakuna habari za wasiojulikana. Ni lazima wajulikane na wameshajulikana kilichobaki ni kudhihirishwa tu kwa wakati mwafaka uliopangwa...!
Upumbavu sasa baasi
 
Kikundi kidogo c
Mkuu toa lema hapo hatoboi kabisaa arusha mjini..... Ingia tu kwenye page yake ya facebook utaona watu wanavyompinga waziwazi... Lema ni mzigo kwa arusha mjini....
Kikundi kidogo cha Gambo kinacholipwa kwa account fake??
Ngoja mtaona.
 
Asalam aleykum

Tukiwa tunashuhudia mtanange wa vyama vya siasa katika mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa hapo badae October 28 ni vyema tukajadili kidogo Lissu anapata nguvu hii wapi na kutoka kwa nani.

Sote nchini na nje ya nchi tumeshuhudia imani, mapenzi, mvuto na baraka alizonazo Tundu Lissu huku tukishangazwa na jinsi anvyoruka viunzi magogo na mashimo kutoka kwa maadui wake.

Si jambo la kawaida hata kidogo, ni lazima tujiulize hii ngivu inatoka kwa Lissu kama Lissu au kuna extra power( mysteious)
There must be a mystic power from God, a Devine power.

Walimpiga risasi 16 hakufa, wakamnyang'anya stahili zake kama mbunge za matibabu hakufa, wakamvua ubunge akasavaivu, wakasema hataurudi nchini huyo mlemavu akarudi, wakasema akirudi tu anapigwa nyingine na kwamba mwaka huu hawatakosa shabaha, mara ooh akija atafikia Segerea, huku wakiseama na kujiapiza atanyang'anywa passport, atafikia mahakamani, akaja mchana kweupe.

Alipofika wakasema chama chake hakitamteua Mbowe kashakula pesa za Nyarandu na Membe. Akateuliwa, wakasema hata pata fomu amefanya kampeni mapema fomu akapata, wakaja na single nyingine eti hajahakiki fomu zake.
Na leo Ameteuliwa.

Hivi vigingi vyote kuvivuka sio nguvu ya Lissu its a devine power.

Hii imenikumbusha kisa kimoja cha wana wa Israel wakitoka Misri wakiongoza na Yuda, Simion, kalebo.

Yuda alipofika nchini kannai aliwakuta wafilisti akapambana nao huku wakiwa na siraha kali moala magari ya kutembea wakati huo hakuna teknolojia hiyo dunia nzima ispokiwa kwa wafilisti. Lakini Yuda huyo ktk nchi ile yerusalem aliwafurumusha wanajeshi wapatao 1000 kwa siku moja na kuwaua wote kwa kutumia mfupa wa taya la Ngamia.

Baadae akazaliwa kiumbe mwenye Agano( nadhili ya Mungu) naye ni Samson aliweza kuua simba kwa mikono yake. Na kuwafunga mbweha zIdi ya elfu moja mkia kwa mkia kwa kutumia mkono wake

Amakweli Tundu Lissu ameua simba kwa mkono pale NEC.

Mtawajua kwa matunda yao. Amani Ni tunda la divine power. Mkuu nakuomba mtoe Mungu kwenye Hivi vituko vya Siasa.
 
Mungu akiamua kukuongoza hawezi kukuacha na daima shetani huwa hashindi penye haki
 
Kikundi kidogo c

Kikundi kidogo cha Gambo kinacholipwa kwa account fake??
Ngoja mtaona.
Bro previously lema alikuwa na support kubwa ya mama wa masoko makubwa arusha mjin lakin now ushawish wote kwa akina mama hao gambo kaubeba... Lema limeungua soko hapa hakuwasaidia hata wale wauzaji pale ambao wengi ni vijana na akina mama
Maeneo aliyokuwa anaishi gambo kata ya muriet anakura nyingi sana kwa watu wale...
Hata 2015 lema alimshinda monaban kwa ushawish wa mzee lowasa
This tym jamaa hatoboi ushawish wake ni mdogo sana... Refer mapokezi ya lisu arusha... Chugah ilikuwa ngome ya lisu lakin mapokezi yalikuwa siyo tuliyoyazoea bro....
 
Back
Top Bottom