Tetesi: Division 3.13 cbg ana weza piga CO

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Nina ndugu yangu kamaliza six cbg.chem-D bios-D geog-E ana taka diploma ya clinical officer ana weza pata kweli chuo???
 
Kwanini asiende Degree wakati vigezo anavyo???
 
Vigezo vinavotumika kusoma diploma ni vya form four pia kwa grade zake izo anaweza kwenda kusoma degree kwa kozi zilizopo sua.
 
Sio kweli! Diploma ya clinical officer wanaangalia Chemistry na biology tu. Kuna watu wamesoma CBG,CBN na CBA wamesoma hio nawafahamu
Physics wanayohitaji ni kutoka O - Level. Mtu anaweza kuwa kasoma hizo Comb lakini O - Level alisoma Physics !
 
nenda NACTE angalia vigezo kama hauna physics nenda kasome agriculture kozi ambayo hawaitaji physics ni community health tu
 
Vigezo vinavotumika kusoma diploma ni vya form four pia kwa grade zake izo anaweza kwenda kusoma degree kwa kozi zilizopo sua.

Asante mkuu nta jaribu kumshauri
 
Sio kweli! Diploma ya clinical officer wanaangalia Chemistry na biology tu. Kuna watu wamesoma CBG,CBN na CBA wamesoma hio nawafahamu

Kama una weza nipe connection nao ni msaidie dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…