Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli! Diploma ya clinical officer wanaangalia Chemistry na biology tu. Kuna watu wamesoma CBG,CBN na CBA wamesoma hio nawafahamuKama physics hana asahau
Labda lakini vyuo vingi vinaangalia physicsSio kweli! Diploma ya clinical officer wanaangalia Chemistry na biology tu. Kuna watu wamesoma CBG,CBN na CBA wamesoma hio nawafahamu
Physics wanayohitaji ni kutoka O - Level. Mtu anaweza kuwa kasoma hizo Comb lakini O - Level alisoma Physics !Sio kweli! Diploma ya clinical officer wanaangalia Chemistry na biology tu. Kuna watu wamesoma CBG,CBN na CBA wamesoma hio nawafahamu
Kwanini asiende Degree wakati vigezo anavyo???
Vigezo vinavotumika kusoma diploma ni vya form four pia kwa grade zake izo anaweza kwenda kusoma degree kwa kozi zilizopo sua.
Ndio anaweza
tumeombea madogo juzi, physics imumoSio kweli! Diploma ya clinical officer wanaangalia Chemistry na biology tu. Kuna watu wamesoma CBG,CBN na CBA wamesoma hio nawafahamu
Kama physics hana asahau
Sio kweli! Diploma ya clinical officer wanaangalia Chemistry na biology tu. Kuna watu wamesoma CBG,CBN na CBA wamesoma hio nawafahamu
Physics wanayohitaji ni kutoka O - Level. Mtu anaweza kuwa kasoma hizo Comb lakini O - Level alisoma Physics !
nenda NACTE angalia vigezo kama hauna physics nenda kasome agriculture kozi ambayo hawaitaji physics ni community health tu
akasome degree ,ata bachelor ya food and nutrition