The Who
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 527
- 878
Unataka serikalini au Private??Chuo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka serikalini au Private??Chuo gani
Unataka serikalini au Private??
Vipo vingi tu muhimbili,kule morogoro, mtwara sehem kibao tu pitia nacte uchukue ile PDF Utachagua mwenyewe ila kwani lazima asome hiyo C/O ?? Paple SUA kuna Course ya laboratory nzuri tu mbona kwa matokeo yake anaweza pataserikali
Vipo vingi tu muhimbili,kule morogoro, mtwara sehem kibao tu pitia nacte uchukue ile PDF Utachagua mwenyewe ila kwani lazima asome hiyo C/O ?? Paple SUA kuna Course ya laboratory nzuri tu mbona kwa matokeo yake anaweza pata
Mkuu huko atakutana na at least C in chemistry hahKwanini asiende Degree wakati vigezo anavyo???
Usichanganye Degree ya Medicine na Diploma ya clinical officerLabda lakini vyuo vingi vinaangalia physics
Kila mtu ana ndugu yake au mdogo wake mimi sitoi ushauri mpaka mtu ajitaje ni yeye mwenyewe
Mkuu huko atakutana na at least C in chemistry hah
Afya hawezi kupata ila fani nyengne anapata.
ni ivi ili usome co wanaangalia form 4 tu uwe na c chemistry , biology c na physics d hawaangalii form six na ni miaka 3 so tumia cheti cha form 4
Sio kweli! Diploma ya clinical officer wanaangalia Chemistry na biology tu. Kuna watu wamesoma CBG,CBN na CBA wamesoma hio nawafahamu
anapenda cozi za afya
Kwanini asisome kozi nyengine za afya kwa hyo diploma lazima asome CO?Nina ndugu yangu kamaliza six cbg.chem-D bios-D geog-E ana taka diploma ya clinical officer ana weza pata kweli chuo???
Aya mkuuUsichanganye Degree ya Medicine na Diploma ya clinical officer
Me nimewaambia wadau lakini wabishi kam olev hakusoma phyLabda Chuo chako km hajasom olev phys hana D asahau maisha yake yote kusom CO
Labda Chuo chako km hajasom olev phys hana D asahau maisha yake yote kusom CO