Akasome lab
Me nimewaambia wadau lakini wabishi kam olev hakusoma phy
kutokana na admission book ya Nacte ili mtu asome diploma ya clinical medicine wanataka CSEE na sio ASCEE tena vigezo vyake ni DDD tu kwa vyuo ambavyo havina ushindani kwa vyuo vyenye ushindani kama muhimbili ni CCD hivyo kama unataka kwenda diploma yoyote ya afya ni chet cha form four tu form six weka kabatini ila kama unataka kwenda degree yoyote ya afya ni form six (ACSEE) iwe na angalau principle pass za kuanzia D mbili yaani DDF au DDS au CDF au CDF yena ziwe za chemistry,biology na Physics, View attachment 809611View attachment 809612

Kuna CBG "O" level? Umekula maharage ya wapi wewe?Labda Chuo chako km hajasom olev phys hana D asahau maisha yake yote kusom CO