Tetesi: Division 3.13 cbg ana weza piga CO

kutokana na admission book ya Nacte ili mtu asome diploma ya clinical medicine wanataka CSEE na sio ASCEE tena vigezo vyake ni DDD tu kwa vyuo ambavyo havina ushindani kwa vyuo vyenye ushindani kama muhimbili ni CCD hivyo kama unataka kwenda diploma yoyote ya afya ni chet cha form four tu form six weka kabatini ila kama unataka kwenda degree yoyote ya afya ni form six (ACSEE) iwe na angalau principle pass za kuanzia D mbili yaani DDF au DDS au CDF au CDF yena ziwe za chemistry,biology na Physics, View attachment 809611View attachment 809612

Asante mkuu nime kuelewa
 
Kama ndo wana taka tena cheti cha 4m4 kwel asahau CO phyz alikuwa na E
 
Back
Top Bottom