sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
akikupiga ya jichoni mpige ya sikioni, akikuuliza unaonaje mwambie..Urojourojo vs Chogo
Ukiviona vyeti vya mama yetu, unaweza kumwaga chozimzanzibar aliepata division 4 ili kuwe na usawa katika muungano.
Kwani vikojeUkiviona vyeti vya mama yetu, unaweza kumwaga chozi
Na JK akampa jamaa ukuu wa wilaya Kama zawadi kwa kichapo kwa warioba na lijamaa baada ya muda likaja kuitaja familia yake kuhusika na madawa malevya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiviona vyeti vya mama yetu, unaweza kumwaga chozi
muungano huo, na ilibidi wapewe 50/50Hivi hili la ajira ni la kweli? Maana Zanzibar ni kama 2.5 percent ya watz wote. Iweje wapate asilimia 21 ya ajira za muungano?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utapotezwa kuhoji vyeti vyao kama ile PHD ya korosho.Ukiviona vyeti vya mama yetu, unaweza kumwaga chozi
Punguzeni roho mbayaa wamatumbi hebu amuweni mnachotaka kuamuaZanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira...
Cha mama yako jee hutomwaga chozi??Ukiviona vyeti vya mama yetu, unaweza kumwaga chozi
Njooni muone washenz walivyojazana huku mpka tafrani HATUPUMUIHivi hili la ajira ni la kweli? Maana Zanzibar ni kama 2.5 percent ya watz wote. Iweje wapate asilimia 21 ya ajira za muungano?
Hamiamo unufaikeZanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira...
Ni lini hiyo 21% imetumika? Wacha kuvisha watu kilemba cha ukokaZanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira...
Unafahamu kuwa asili ya neno washenzi ni utambulisho wa wazanzibari. Na ustaarabu, waarabu?Njooni muone washenz walivyojazana huku mpka tafrani HATUPUMUI
Sijazaliwa peke yangu ndiyo maana nikasema" Cha mama yetu"Cha mama yako jee hutomwaga chozi??