Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau hili,.....pamoja na Zanzibar kuwa wa mwisho matokeo ya form four ila per Capita yao/kipato cha mtu mmoja mmoja ni kikubwa kuliko mkoa wowote ule wa Tanzania bara.Zanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira.
Kwa upande wa Zanzibar mambo ni bam bam!! Wao wapo wachache sana lakini ajira asilimia 21 za Tanzania ni zao na huko kwao Zanzibar ajira ni zao peke yao, hawana stress za mavyeti.
Kwenye ajira mtu wa bara aliepata division 1 kali anaweza kuwekwa pembeni hio nafasi akapewa mzanzibar aliepata division 4 ili kuwe na usawa katika muungano.
Halafu utasikia punguwani anaropoka 'Zanzibar ni kama wilaya"
Wanapata sababu watu wa bara ni mazuzu,mabinafsi ,mapunguani.Hivi hili la ajira ni la kweli? Maana Zanzibar ni kama 2.5 percent ya watz wote. Iweje wapate asilimia 21 ya ajira za muungano?
Kuliko PhD ya Kabudi Na juisi zake Za Madagascar?Ukiviona vyeti vya mama yetu, unaweza kumwaga chozi
Serikali inalipa bilioni 600 mshahara nusu ya makusanyo yake yote........ni mpumbavu tu anaweza kuongelea ajira bila kuihusisha serikaliKwani ajira ni serikalini tu! Hayo ni mawazo ya kimasikini
Cha mama yako jee hutomwaga chozi??
Ushenzi ni vitendo Na wanaofanya tumewaona 1964 Na mpaka Leo wameweka majeshi Yao kila mtaa ukifika uchaguzi wanauwa watuUnafahamu kuwa asili ya neno washenzi ni utambulisho wa wazanzibari. Na ustaarabu, waarabu?
Washenz walikua wanatoka Bara kuja kulima visiwaniUnafahamu kuwa asili ya neno washenzi ni utambulisho wa wazanzibari. Na ustaarabu, waarabu?
Wanaolima hawajawahi kuitwa washenzi hata siku moja. Usidanganye pleaseWashenz walikua wanatoka Bara kuja kulima visiwani
FUNGAMEZA na wenzake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuliko PhD ya Kabudi Na juisi zake Za Madagascar?
Wanzanzibari weusi wote ni washenzi. Wastaarabu walikuwa waarabu tu. Angalia hayo maneno mawili yanavyofanana. Angalia na shenzi linavyofanana na zenj, ambalo linamanisha mweusi.Washenz walikua wanatoka Bara kuja kulima visiwani
FUNGAMEZA na wenzake
Majinga tu haya ni ya kuyapuuza huku tuminufaika na Muungano walioutaka wenyewe. Imagine yanalilia hadi ardhi ya visiwani wakati Bara kuna ardhi hata haina mwenyewe. Last year nikaenda Lindi huko nikamega acre 300 (almost free) nikapanda korosho zote, soon nitaanza kula pension wao wako bize na Zanzibar wee Zanzibar. No wonder akina mo wanawazidi ujanja na kunufaika na rasilimali zao.Punguzeni roho mbayaa wamatumbi hebu amuweni mnachotaka kuamua
Na madarasa 18000 kawajengea na VETA kibao anawajengea. Yote hiyo kuonyesha jinsi anavyothamini elimu, pamoja na huko kunakoitwa kufeli. Akifika 2025 huyo mama hamtataka aondoke.Wanapata sababu watu wa bara ni mazuzu,mabinafsi ,mapunguani.
Zanzibar kungekua na mgodi mmoja tu wa dhahabu kama ule wa Kahama ingekua kama Doha.
Nchi yeyote iliyoendelea jua inajali maslahi ya raia wake kwenye mambo ya msingi.
Kipindi JPM alikaa miaka 6 akajenga uwanja wa Chato na kuweka mataa barabarani ili punda wavuke.
SAMIA ndani ya miezi sita tu kwenye utawala wake,hela za COVID anajenga vyuo vya VETA Pemba na unguja,ananunua meli za uvuvi Zanzibar,huku akirekebisha kero za muungano kwa maslahi mapana ya Zanzibar,huku akiwa hana hata division 4 form four.........AKILI KUBWA,SIO TU UNAKUSANYA MAVYETI YENYE A
Tatizo Watanganyika NI maskini WA akili WanaMajinga tu haya ni ya kuyapuuza huku tuminufaika na Muungano walioutaka wenyewe. Imagine yanalilia hadi ardhi ya visiwani wakati Bara kuna ardhi hata haina mwenyewe. Last year nikaenda Lindi huko nikamega acre 300 (almost free) nikapanda korosho zote, soon nitaanza kula pension wao wako bize na Zanzibar wee Zanzibar. No wonder akina mo wanawazidi ujanja na kunufaika na rasilimali zao.