Division two (10) PCB anaweza kupata ualimu UDSM?

Division two (10) PCB anaweza kupata ualimu UDSM?

Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
Hata angekuwa na 1V ualimu angepata.Chuo ni Kimoja tuu Muhimbili
 
Share something mkuu.
2 ya 10 PCB
Anaweza Soma
Quantity survey.
Landscape, Interior designing na General Architecture.
Environmental Eng.
Hizi zipo ARU .
Na ni better kuliko Ualimu na Pengine zinakaribiana na Afya.

Zipo kozi nyingi sana, Cha kufanya download prospectus za Vyuo mbalimbali uangalie.
 
Daah maisha kila mtu anafanya anachokiona yeye kila mtu akisoma afya nan atakuwa mwalimu punguzen ushauri coz hamjui malengo yake ni yapi mtu kauliza anaweza chaguliwa ualimu udsm mnajifanya ety akasome afya afya je kama hayupo interested huko
 
Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?

Kwa nini ualimu? Mnawafanya watoto wasome madudu magumu bila sababu
 
Daah maisha kila mtu anafanya anachokiona yeye kila mtu akisoma afya nan atakuwa mwalimu punguzen ushauri coz hamjui malengo yake ni yapi mtu kauliza anaweza chaguliwa ualimu udsm mnajifanya ety akasome afya afya je kama hayupo interested huko
It's true, mpk right now sjapata jibu ya nilichokiuliza, do you have any tips kama anaweza pata main campus pale lengo yeye ni kuja major in physics field.
 
Back
Top Bottom