Publications kwenye reputable journals, are you serious? Ni lini wanafunzi wa undergraduate TZ wakawa na research za kupublish kwenye journals za kimataifa. Kuna member kakujibu zinazingatiwa kwa watu wa post-graduate.
Tuachane na hayo
1. Nafasi ya kusoma udsm main campus education unaweza kupata lakini jaribu kuomba na campus ya duce wako vizuri pia.
2. Usiibeze udom kwenye physics aisee mbona bachelor of physics inatolewa pale Kwaio wako vizuri tu nadhani.
3. Kwa maoni yangu st. Joseph University wako vizuri kwenye practical physics kwa sababu wale wahindi wana vifaa vingi kuliko hizi public universities (umesema unataka research based learning methodology) hope patakufaa pale.
Otherwise Goodluck.