Ruto alipoingia madarakani cha kwanza alichofanya ni kuvunja kikundi kama hicho.Kama kikundi kipo kisemwe tu na watu wawajibishwe kwa uovu huo. Hii nchi ni ya watanzania wote hakuna kikundi chenye nguvu zaidi ya watanzania wote
Sahihi kabisa ingawa Muliro anaweza kuwa msemaji wao.Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa
2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa wanapoanza kufanya uchunguzi juu ya watekaji , wanagundua kuwa kuna kundi dogo ambalo nyuma yake ipo mamlaka ya uteuzi inayowateua wakuu hao, na hivyo wanaufyata
Tukiconect dots kidogo
back in April 24, wanachama wa CHADEMA walikamatwa mbele ya mahakama , wakateswa kisha kwenda kutupwa maporini, days later, Murilo anahojiwa anasema kuwa polisi hawahusiki, kaweka wazi waliokamatwa ni Heche na Mnyika, zen kaauliza , ni nani aliyejeruhiwa kati ya hao?
Je , Muliro alikuwa ni mwehu kusema jeshi la polisi halihusiki katika hili? No, Muliro alijua anachoongea , hapa anamaanisha kuna kundi dogo linavaa uniform za polisi ambalo kazi zao ni kuteka , kutesa na kuua.
GWAJIMA ANA DATA KAMILI, NA SIO YEYE TU ANACHUKIZWA NA HILI SUALA LA TEKA TEKA, KUNA WATU NYUMA YA GWAJIMA.
Muwe na ibada Njema
Watu mna kumbukumbu sana 😂Ruto alipoingia madarakani cha kwanza alichofanya ni kuvunja kikundi kama hicho.
View: https://youtu.be/HG7twbc82ig?si=n8aZa_0b245FbXfA
Muliro yupo sahihi, wanaoteka si polisi, ni kikundi kinacho valishwa magwanda ya polisi. Kina mafunzo ya juu ya utesaji na kuuwa. Polisi huhusishwa kuchukua maiti kile kikundi kikisha kamilisha kazi yake.Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa
2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa wanapoanza kufanya uchunguzi juu ya watekaji , wanagundua kuwa kuna kundi dogo ambalo nyuma yake ipo mamlaka ya uteuzi inayowateua wakuu hao, na hivyo wanaufyata
Tukiconect dots kidogo
back in April 24, wanachama wa CHADEMA walikamatwa mbele ya mahakama , wakateswa kisha kwenda kutupwa maporini, days later, Murilo anahojiwa anasema kuwa polisi hawahusiki, kaweka wazi waliokamatwa ni Heche na Mnyika, zen kaauliza , ni nani aliyejeruhiwa kati ya hao?
Je , Muliro alikuwa ni mwehu kusema jeshi la polisi halihusiki katika hili? No, Muliro alijua anachoongea , hapa anamaanisha kuna kundi dogo linavaa uniform za polisi ambalo kazi zao ni kuteka , kutesa na kuua.
GWAJIMA ANA DATA KAMILI, NA SIO YEYE TU ANACHUKIZWA NA HILI SUALA LA TEKA TEKA, KUNA WATU NYUMA YA GWAJIMA.
Muwe na ibada Njema
Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa

Ukimsikiliza yeye , anasema 'matukio haya yamezidi kipimo' means pengine alidhani yataisha ila anashangaa kikundi hicho kimenogewa kufanya utekaji na uuaji mpaka kimejisahau kiasi kwamba hata watu wa mataifa mengine wanafanyiwa unyama kama watanzania wanavyofanyiwaInawezekanaje nchi nzima akosekane wa kukitumbua kikundi hicho royal kinachofanya uovu wa kutisha nchini? Wapo wazee vingunge wa nchi hii wanashindwa nini kukikamua kikundi hicho kinachoharibu sura ya nchi? Too late gwajima anajitoke kujilipua huku haaminiki anachokisema
Na ndiyo maana wenye taarifa za uhakika na kuchoshwa na mambo maovu haya wameanza kujitokeza mmoja mmoja, soon Tanzania tutaongea lugha moja. Suala la reforms linahitajika haraka sanaKama kikundi kipo kisemwe tu na watu wawajibishwe kwa uovu huo. Hii nchi ni ya watanzania wote hakuna kikundi chenye nguvu zaidi ya watanzania wote
Ndiyo maana akaja na mapendekezo ya reforms ya sheria , kwa sababu hawa wakuu wa vyombo vyetu hawana nguvu kwa kuhofia kumwagwa ugali wao chini maana nao ni wanadamu, wanamahitaji yao binafsi , wana watoto , kukiwepo kinga dhidi ya hawa wakuu wetu, ni wazi kabisa watafanya kazi kwa welediIko wapi nafasi ya vyombo vya ulinzi na usalama kufanya majukumu yake kama kuna kikundi royal kinafanya vitendo viovu vinaachwa tu vikiharibu nchi?
Hawa viongozi wetu , M/Mungu aingilie kati tu, ni hatari sana, na haya yote hapa Tanzania chanzo chake ni mwendazakeHata aliyekuwa Rais wa Zaire (DRC) dikteta Mobutu Sese Seko naye pia alikuwa anamiliki makundi na Magenge yake ya Watekaji watu
Hawa viongozi wetu , M/Mungu aingilie kati tu, ni hatari sana, na haya yote hapa Tanzania chanzo chake ni mwendazake