PreGE2025 Division zero inatosha kabisa kuelewa ujumbe wa Askofu Gwajima kuhusu utekaji

PreGE2025 Division zero inatosha kabisa kuelewa ujumbe wa Askofu Gwajima kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndiyo maana akaja na mapendekezo ya reforms ya sheria , kwa sababu hawa wakuu wa vyombo vyetu hawana nguvu kwa kuhofia kumwagwa ugali wao chini maana nao ni wanadamu, wanamahitaji yao binafsi , wana watoto , kukiwepo kinga dhidi ya hawa wakuu wetu, ni wazi kabisa watafanya kazi kwa weledi
Huwezi watenganisha na yanayoendelea, wanashindwa vipi kupiga operation za kimya kuvimaliza hivyo vikundi.
Ikitokea ishu ya kutakiwa ICC watakwepaje kwa mfano.
Kibaka hawezi kutamba mtaani bila uwepo wa mwenyeji
 
Huu upumbavu ulianzishwa na Magufuli, alikuwa chapa kazi lakini ukweli lazima usemwe
 
downloadfile-1.jpg
 
Back
Top Bottom