Naungana mkono hoja yako, ni kweli kabisa msingi mama wa matatizo haya ya utekaji ni katiba mbovu inayotoa mwanya kwa kumpa madaraka makubwa mtu mmoja tu, but kwa katiba hii hii, angalau mambo haya ya wasiojulikana na uteswaji na upotezwaji wa watu yamejitokeza sana kipindi cha magu, hii inampa picha aliyepo kusema , kama mtangulizi wangu kafanya kwa nini mimi nisifanye?No, hapana.
Chanzo cha matatizo yote haya ni kuwepo kwa Katiba mbaya Sana pamoja na kuwepo kwa Sheria mbaya Sana ambazo ni Kandamizi. Vitendo hivi viovu vya uhalifu mbaya wa Utekaji Watu, Utesaji, kupoteza, kuua Watu, n.k vina baraka zake kutoka kwenye Katiba ya nchi pamoja na kwenye Sheria za nchi.
Naungana mkono hoja yako, ni kweli kabisa msingi mama wa matatizo haya ya utekaji ni katiba mbovu inayotoa mwanya kwa kumpa madaraka makubwa mtu mmoja tu, but kwa katiba hii hii, angalau mambo haya ya wasiojulikana na uteswaji na upotezwaji wa watu yamejitokeza sana kipindi cha magu, hii inampa picha aliyepo kusema , kama mtangulizi wangu kafanya kwa nini mimi nisifanye?
Kwa hiyo kwa akili zako timamu, unaamini kuwa jeshi letu ni vilaza na hawana intelejensia ya kutambua kuwa haya matukio ya utekaji chanzo chake ni nini? Basi kama ndivyo watendaji katika hili jeshi wafukuzwe wote, maana hawajui wajibu wao kwa raiaHayo mambo waliposema chadema waliambiwa kama wanataarifa wazipeleke Polisi na Jeshi litashughulikia.
Sasa Gwaji Boy kasema, Polusi wakachukue Taarifa kutoka kwa Gwaji Boy wazifanyie kazi?
Saa100 form 4, alipata division Gani?Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa
2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa wanapoanza kufanya uchunguzi juu ya watekaji , wanagundua kuwa kuna kundi dogo ambalo nyuma yake ipo mamlaka ya uteuzi inayowateua wakuu hao, na hivyo wanaufyata
Tukiconect dots kidogo
back in April 24, wanachama wa CHADEMA walikamatwa mbele ya mahakama , wakateswa kisha kwenda kutupwa maporini, days later, Murilo anahojiwa anasema kuwa polisi hawahusiki, kaweka wazi waliokamatwa ni Heche na Mnyika, zen kaauliza , ni nani aliyejeruhiwa kati ya hao?
Je , Muliro alikuwa ni mwehu kusema jeshi la polisi halihusiki katika hili? No, Muliro alijua anachoongea , hapa anamaanisha kuna kundi dogo linavaa uniform za polisi ambalo kazi zao ni kuteka , kutesa na kuua.
siku moja kabla ya wanaharakati wa kenya na ugandwa kukamatwa, kuteswa na kutelekezwa mipakani , Rais alizungumza kitu gani? ( hapa kuna dots ukiziunga, ukajumlisha na yaliyosemwa na Ask Gwajima, utagundua yes She is the one behind haya yanayoendelea)
GWAJIMA ANA DATA KAMILI, NA SIO YEYE TU ANACHUKIZWA NA HILI SUALA LA TEKA TEKA, KUNA WATU NYUMA YA GWAJIMA.
Muwe na ibada Njema
Na kila mwenye akili timamu, amejiuliza haya maswali, na jibu ni moja tu, kuna kitu nyuma ya paziasasa kama kikundi hiki ni kidogo na kinachafua nchi na idara za usalama zote zinashindwaje kuwadhibiti kwa kuipa afya nchi.huu ndio ujinga ninaoulalamikia hapa.watu wana silaha,wana mamlaka ,wanashindwa nini kudhibiti kikundI hiko.
hao ote lao moja.kulinda ccm na matumbo yao.
Wewe peke yako ndiye humuamini alichokisema.Inawezekanaje nchi nzima akosekane wa kukitumbua kikundi hicho royal kinachofanya uovu wa kutisha nchini? Wapo wazee vingunge wa nchi hii wanashindwa nini kukikamua kikundi hicho kinachoharibu sura ya nchi? Too late gwajima anajitoke kujilipua huku haaminiki anachokisema
Hapa labda tumuulize Erythrocyte au Mshana Jr
Kutokujua sio ukilaza, wanajitoa ufahamu/wanafunika kombe tu kupisha mwana haramu apite.Kwa hiyo kwa akili zako timamu, unaamini kuwa jeshi letu ni vilaza na hawana intelejensia ya kutambua kuwa haya matukio ya utekaji chanzo chake ni nini? Basi kama ndivyo watendaji katika hili jeshi wafukuzwe wote, maana hawajui wajibu wao kwa raia
Then you know what!😀😀 uchawa kila kona