PreGE2025 Division zero inatosha kabisa kuelewa ujumbe wa Askofu Gwajima kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
RC mbeya imetoa hela kwa yoyote akataye mpata au kumuona mdude

OVA
Yakuahidi dau kwa mtu atakaye muona, hata muuaji wa Kigamboni aliyemuangamiza mkewe kwa magunia ya mkaa, alitoa ahadi ya dau nono kama hiyo kwa atakayemuona mkewe.

Hiyo ni trick ya kucheza na akili za raia, kwamba hakuna atayeweza kuipata hiyo hela kwa sababu anajua kauawa na kuteketezwa hawezi kupatikana.

Mkuu wa mkoa katajwa sana kuhusika kwenye saga hilo.
 
Unarudia yale yale, haya matukio yana baraka za wenye mamlaka
 
Unarudia yale yale, haya matukio yana baraka za wenye mamlaka
Wenye mamlaka ni wananchi hao ni wafanyakazi wetu.

Ila kwasababu wamejipa UTAWALA ndio maana wanatumia nguvu.

Wajiuzulu tu, Pinda anawashauri anasema kaeni kimya na hili nalo litapita tu.
 
Iko siku yao watalipa tu

Ova
 
kwa hapa naona jeshi lapolis halihusiki,kuna mjumbe wa sisiemu alitoa siri wameambiwa waangalie mtaani kwao mtu anayejifanya kidomodomo wawape tarifa ili usiku waje kumaliza
 
Division zero ni kubwa sana. Ungesema darasa la tatu B!
 
ushaambiwa wanaogopa mamlaka za uteuzi wao
 
ushaambiwa wanaogopa mamlaka za uteuzi wao
ndio wajinga hawana akili. mtu kakuvisha manyota yamejaa kwenye mabega halafu watu unaowalinda wanauawa kila siku kwasababu za kijinga tu.halafu bado unakaa heti unamuogopa aliekuteua. ni upumbavu tu. mtu mweusi bado hafai kuitwa mtu wa bina adam.
 
Kaona harudi 2025
 
Kwa hio hivyo vikundi vina nguvu kuliko mamlaka.
Nani mwenye interest ya kumteka mdude for what?
 
Kama kikundi kipo kisemwe tu na watu wawajibishwe kwa uovu huo. Hii nchi ni ya watanzania wote hakuna kikundi chenye nguvu zaidi ya watanzania wote
Unawajibishaje kikundi kabla ya kuwajibisha mwenye kikundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…