TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

Ikumbukwe wakati akiingia madarakani kupitia CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO alimtoa diwani wa Ccm aliyependwa sana na wanakiwele na alikua kaleta maendeleo makubwa sana CHADEMA walifanya jitihada kubwa sana watu waliumia kwa kumpigania usiku na mchana LAKINI AKAJA KUSALITI CHAMA MCHANA WA JUA KALI.
THAMINI JASHO LA WAPIGA KURA.
Kwa maelezo yako, maana yake diwani wa zamani wa CCM kamuondoa jamaa Ili aingie Tena?
 
Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa.

Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Mfaume Gomangulu, amesema kifo cha Diwani Waya ni cha ghafla na kimetikisa chama na jamii kwa ujumla.

"Baada ya Waya kumaliza kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wananchi katika mkutano wa hadhara, alisema anahisi hayupo sawa na akaomba kutoka nje apunge upepo."

"Lakini muda mfupi baadaye, alisema anajisikia vibaya, akapelekwa haraka katika Kituo cha afya Nzihi, lakini hali yake ilionekana kuwa mbaya zaidi na hivyo akakimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa,” amesema Gomangulu."

Diwani huyo alikuwa ni kiongozi mwenye historia ya kujitolea na utumishi kwa wananchi, ambapo alianza uongozi wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambako alihudumu kuanzia mwaka 2015 hadi 2020.

Baadaye alijiunga na CCM na kuchaguliwa tena kuongoza Kata ya Kiwere kwa kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, mauti yalipomfika.

Credit: Mwananchi
Kifo ni kifo tu.
 
Wameshazika ?
 
Kifo ni kifo tu
 
Acha wafe tu hao wajinga, wamezoea kushangilia mauaji ya watz wenzao kisa ushabiki wa vyama
 
Kama wanadamu wote tungengiwa na hekima ya Mungu, hakika hakuna ambaye angethubutu kuhangaika kudhulumu uhai wa mwenzake au hata kupora haki za wanadamu wengine kwaaajili ya mambo ya muda mfupi, kama vile madaraka.

Kifo cha huyu mwanadamu mwenzetu kitukumbushe sote, pamoja na Samia, kuwa sisi sote tu wanadamu, muda wetu wa kuwepo katika Ulimwengu huu ni mfupi sana. Hata ukiteka, ukawaua wanadamu wenzako, sawa waweza kupata cheo, lakini waweza usipate wa kuishi na hicho cheo.

Tujitahidi kutenda mema kwa muda tuliojaliwa kuwa haapa Duniani, ili Duniani, majina yetu yasomeke katika wema kuliko uovu dhidi ya wanadamu wenzetu, na katika mbingu tupate karibisho jema kwa sababu tuliuishi upendo wa Mungu..

Poleni sana wanafamilia.
 
Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa.

Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Mfaume Gomangulu, amesema kifo cha Diwani Waya ni cha ghafla na kimetikisa chama na jamii kwa ujumla.

"Baada ya Waya kumaliza kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wananchi katika mkutano wa hadhara, alisema anahisi hayupo sawa na akaomba kutoka nje apunge upepo."

"Lakini muda mfupi baadaye, alisema anajisikia vibaya, akapelekwa haraka katika Kituo cha afya Nzihi, lakini hali yake ilionekana kuwa mbaya zaidi na hivyo akakimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa,” amesema Gomangulu."

Diwani huyo alikuwa ni kiongozi mwenye historia ya kujitolea na utumishi kwa wananchi, ambapo alianza uongozi wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambako alihudumu kuanzia mwaka 2015 hadi 2020.

Baadaye alijiunga na CCM na kuchaguliwa tena kuongoza Kata ya Kiwere kwa kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, mauti yalipomfika.

Credit: Mwananchi
Mwandishi hayuko serious kabisa eti "pigo Kwa jamii"
 
kibao.jpg

soka-e1724250077267-1024x968.jpg

mdude.jpg

Hatutawasahau
 
RIP Mtanzania....

Ni masikitiko kuona watu wanafurahia Kifo cha Mtanzania mwenzao sababu tu Prefix and Neno baada ya mtu / jina lina Herufi ambazo kwao ni tufauti na Herufi ambazo wanaona sio kama za Kwao...

Wanasahau hivi Vyama vimekuja tu majuzi na huenda kesho vikawa havipo bali Undugu wao / Genealogy ni ya Kudumu na Mbadala wowote lazima uwe unajumuisha Wote na sio SISI na WAO....
 
Back
Top Bottom