TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

Akili za kijinga hizi...kwani yupo aliyezaliwa kwa ajili ya Chama chako tu au huko kwenye Chama chako hakuna mazezeta na wabinafsi?
Kwani nani alizaliwa ali afe kwakuwa anapingana na uovu wa serikali?
Nasema hivi huyo chawa kama kafa wacha afe tuu hawa ndio wanao sababisha nchi inazidi kuwa maskini
 
Basi iyo sio ghafla eti wakati alitoka nje mpaka anapelekwa hospital ghalfa ipi apo? Ghafla kama alianguka apo apo au alipata ajali akafa apo apo hiyo ndio ghalfa
 
Matendo yao mabaya dhidi ya wanyonge yameifanya mioyo ya wapiga kura kuwa migumu na kufurahia mabalaa yao
 
Kumbe nao wanakufa CCM.mungu ni mkali bado chura.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwa kutumia hizi imani za kidini, mtasema Mungu kamchukuwa mtu wake. Mungu amchukuwe huyo kijana ampeleke wapi?
 
Mwaka na muda wa kuondoana kwa njia yoyote, umewadia. Tanzia zitakuwa nyingi za kutosha. Kila mtu anataka kuwa Bilionea Tz, watu hawataki kuuziwa asali, wanafata kwenye mzinga wa asali ulipo.
Nyinyi wanawake ni sababu pia... watu wanataka huo ubilionea ili kuwavutia wanawake. Wrong reason za kuwa bilionea
 
Back
Top Bottom