TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

Kwa maelezo yako, maana yake diwani wa zamani wa CCM kamuondoa jamaa Ili aingie Tena?
 
Kifo ni kifo tu.
 
Wameshazika ?
 
Kifo ni kifo tu
 
Acha wafe tu hao wajinga, wamezoea kushangilia mauaji ya watz wenzao kisa ushabiki wa vyama
 
Kama wanadamu wote tungengiwa na hekima ya Mungu, hakika hakuna ambaye angethubutu kuhangaika kudhulumu uhai wa mwenzake au hata kupora haki za wanadamu wengine kwaaajili ya mambo ya muda mfupi, kama vile madaraka.

Kifo cha huyu mwanadamu mwenzetu kitukumbushe sote, pamoja na Samia, kuwa sisi sote tu wanadamu, muda wetu wa kuwepo katika Ulimwengu huu ni mfupi sana. Hata ukiteka, ukawaua wanadamu wenzako, sawa waweza kupata cheo, lakini waweza usipate wa kuishi na hicho cheo.

Tujitahidi kutenda mema kwa muda tuliojaliwa kuwa haapa Duniani, ili Duniani, majina yetu yasomeke katika wema kuliko uovu dhidi ya wanadamu wenzetu, na katika mbingu tupate karibisho jema kwa sababu tuliuishi upendo wa Mungu..

Poleni sana wanafamilia.
 
Mwandishi hayuko serious kabisa eti "pigo Kwa jamii"
 
RIP Mtanzania....

Ni masikitiko kuona watu wanafurahia Kifo cha Mtanzania mwenzao sababu tu Prefix and Neno baada ya mtu / jina lina Herufi ambazo kwao ni tufauti na Herufi ambazo wanaona sio kama za Kwao...

Wanasahau hivi Vyama vimekuja tu majuzi na huenda kesho vikawa havipo bali Undugu wao / Genealogy ni ya Kudumu na Mbadala wowote lazima uwe unajumuisha Wote na sio SISI na WAO....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…