Diwani apost picha zake za utupu kwenye grupu la whatsapp la bunge

Diwani apost picha zake za utupu kwenye grupu la whatsapp la bunge

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Diwani wa kuteuliwa wa kaunti ya Vihiga katika Mkoa
wa Magharibi nchini Kenya ametoweka baada ya
kuposti kimakosa picha zake za utupu kwenye grupu
la whatsApp, Ijumaa iliyopita.

Diwani huyo anayefahamika kwa jina la Rhoda
Omufumu alipost picha hizo zinazomuonesha akiwa
na mwanaume asiyefahamika, kwenye grupu la
WhatsApp la Bunge Dogo la Kaunti hiyo majira ya saa
3 na dakika 12 usiku.

Ingawa diwani huyo ametoweka, amekuwa akitoa
majibu kupitia kwa mwakilishi wake ambaye amedai
kuwa picha hizo zilitumwa bahati mbaya na mtu
ambaye alichezea simu yake na sio yeye kwani hajui
kutumia vizuri vifaa vya kidijitali.

Mwakilishi huyo aliongeza kuwa Omufumu ni kiongozi
kanisani hivyo hawezi kufanya kitendo hicho.
“Mtu alichezea simu yake… ni kiongozi wa kanisa
ambaye hawezi kufanya vitu kama hivyo kwenye
mitandao ya kijamii. Ameolewa na ana watoto
wakubwa,” alisema mwakilishi wa diwani huyo.

Kutokana na picha hiyo, kumekuwa na shinikizo
kubwa kwenye mitandao ya kijamii ikimtaka diwani
huyo kujiuzulu mara moja nafasi yake.

Kwa mujibu wa gazeti la The Star la Kenya, Diwani
mwenzake mwanamke, Maureen Ambasa amewataka
madiwani wengine wa kike kukutana haraka leo kwa
ajili ya kuunda kamati ambayo italichunguza kiundani
suala hilo.

Mume wa Omufumu pia aliwahi kuwa diwani..
 
Ni vigumu mwenye akili timamu kurusha picha zake za utupu hasa mtu ambaye ni public figure
 
Mtu mzima, aneolewa, ana watoto sijui kiingozi wa kanisa halafu unapiga picha za utupu then unategemea nini baadaye, utetezi wa kijinga kabisa.
 
Tumeshawazoea Wakenya kwenye tasnia hii ya uanikaji wa tupu zao mitandaoni, hasa viongozi. Mara waziri, mara lecturer, nk.
 
Ni vigumu mwenye akili timamu kurusha picha zake za utupu hasa mtu ambaye ni public figure
Hakuna ugumu ni Maamuzi tu... pengine anatafuta kick kwa njia ya nyuchi yake
 
Maneno yote hayo hayana maana bila picha.

Hebu zitupie tuzicheki au tupia link tukazicheki.
 
Mkono mtupu haulambwi weka na picha kabisa
 
Mkuu hapo tu ndio hua nakukubali, unaenda moja kwa moja kwenye point bila kuweka mbwembwe na maneno lukuki.
Nimefungua huu uzi ili nione picha ghafla naona maneno mengi sijayasoma nikaanza kushuka chini nikashuka picha sizioni

amenikera sana mtoa mada
 
picha zenyewe zipo wapi ?
Rhoda
rhoda_omufumu.jpg
 
Mods futa huu uzi hauna uthibitisho
jana ilitokea ajali ya basi kuungua picha zimewekwa
imetokea ajali nyingine picha haziwekwi hii ni double standards

Tuukomeshe futa hii kitu mods
 
Back
Top Bottom