Diwani apost picha zake za utupu kwenye grupu la whatsapp la bunge

Diwani apost picha zake za utupu kwenye grupu la whatsapp la bunge

32c2a9a1b9e6c8f598c8630331785faa.jpg

haipo clear
 
Mods tuta huu uzi hauna uthibitisho
jana ilitokea ajali ya basi kuungua picha zimewekwa
imetoke ajali nyingine picha haziwekwi hii ni double standards

Tuukomeshe futa hii kitu mods
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
 
Sio huyo mwenye ujinga huo, mijitu kibao inamiliki picha za utupu kwenye simu zao,huo ni zaidi ya wazimu tu, zina faida gani?
 
Mods futa huu uzi hauna uthibitisho
jana ilitokea ajali ya basi kuungua picha zimewekwa
imetokea ajali nyingine picha haziwekwi hii ni double standards

Tuukomeshe futa hii kitu mods
sasa wewe picha za utupu zipostiwe jf?
 
Diwani wa kuteuliwa wa kaunti ya Vihiga katika Mkoa
wa Magharibi nchini Kenya ametoweka baada ya
kuposti kimakosa picha zake za utupu kwenye grupu
la whatsApp, Ijumaa iliyopita.

Diwani huyo anayefahamika kwa jina la Rhoda
Omufumu alipost picha hizo zinazomuonesha akiwa
na mwanaume asiyefahamika, kwenye grupu la
WhatsApp la Bunge Dogo la Kaunti hiyo majira ya saa
3 na dakika 12 usiku.

Ingawa diwani huyo ametoweka, amekuwa akitoa
majibu kupitia kwa mwakilishi wake ambaye amedai
kuwa picha hizo zilitumwa bahati mbaya na mtu
ambaye alichezea simu yake na sio yeye kwani hajui
kutumia vizuri vifaa vya kidijitali.

Mwakilishi huyo aliongeza kuwa Omufumu ni kiongozi
kanisani hivyo hawezi kufanya kitendo hicho.
“Mtu alichezea simu yake… ni kiongozi wa kanisa
ambaye hawezi kufanya vitu kama hivyo kwenye
mitandao ya kijamii. Ameolewa na ana watoto
wakubwa,” alisema mwakilishi wa diwani huyo.

Kutokana na picha hiyo, kumekuwa na shinikizo
kubwa kwenye mitandao ya kijamii ikimtaka diwani
huyo kujiuzulu mara moja nafasi yake.

Kwa mujibu wa gazeti la The Star la Kenya, Diwani
mwenzake mwanamke, Maureen Ambasa amewataka
madiwani wengine wa kike kukutana haraka leo kwa
ajili ya kuunda kamati ambayo italichunguza kiundani
suala hilo.

Mume wa Omufumu pia aliwahi kuwa diwani..
Picha kuprove tunaweza zipata wapi mkuu
 
Msichana yeyote anayekuamini na kukupenda unaweza mphotowa unavyotaka ili hari anajua madhara yake
 
Back
Top Bottom