Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)

Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.

Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.

Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!

Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;

Emilio Mzena (1961 to 1975),

Dr Lawrence Gama (1975-78)

Dr Hassy Kitine (1978-80).

Dr Augustine Mahiga (1980-83)

Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).

Apson Mwang'onda (1995-2005)

Othman Rashid Othman (2005-2016).

Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)

Diwani Athuman (2019-2022)

MY TAKE;

Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
 
Hawa ma pai wanaotokea polisi hamna kitu wote , kwa sasa iwe zamu ya military inteligence maana weledi wao siutilii shaka kabisa na nadhani hawajawahi kupepesa macho, hata wakati wa jiwe kuna wengi walijitahidi kujiweka mbali na siasa za maji taka na kutaka nchi irudi kwenye mstari, lakini ndio hivyo hawakuweza maana jiwe lilikua jiwe kweri kweri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom