Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Mama anaupiga mwingiDiwani Athman atenguliwa ikulu.View attachment 2469855
Atakuwa amefanya dhambi kubwa nini? Cardinal sin...iliyomfukuzisha Adam bustani ya EdenMama anaupiga mwingi
Hawa wakuu wa hiki chombo miaka ya karibuni wamelambishwa sana sakafu sababu ya kutosimama kwenye msingi wa kile taasisi imepangiwa kufanya.
Wanafanya kazi kwa upepo wa wanasiasa, Mwisho wa siku zigo la misumari linawadondokea wao.
Naona alikurupuka tu kumuweka ikulu aliyekuwa jasusi mwandamizi labda ubalozi utamhusuAtakuwa amefanya dhambi kubwa nini? Cardinal sin...iliyomfukuzisha Adam bustani ya Eden
Hivi mkuu kutoka DGIS mpaka Chief of staff ni demotion kweli?🤔Diwani itakuwa kakataa demotion