mehendekamhike
New Member
- Jun 9, 2015
- 1
- 0
Kwa diwani sioni kitu ambayo itakuwa imemstua au kumfanya akatae nafasi eti kisa kashushwa. turejelee teuzi zake za nyuma hajawahi shushwa pindi alipoteuriwa kule kagera kuwa katibu tawala? hata hivyo rais anateuwa kutokana na mashauriano na mahitaji kwa wakati huo pengine baada ya masaa kazawakaza ya uteuzi ameona impendeze na kumteua mtu mwingine,Umejuaje kama aliwahi kulima au umejuaje kama yuko interested na kilimo sasa hivi. Diwani pale Magu alipofariki alijua kabisa kile cheo hakai, surprisingly amekaa kaa kidogo tofauti na uzoefu wa medani ulivyoonyesha. Haijamshtua wala haijawashtua wenye medani yao kama alivyoondoka Modestus Kipilimba.
Na kwa common sense hapo ikulu huo ukatibu alikuwa amepewa kama stopgap