HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Unamgomeaje Chief wako?Huyu diwani arudi kwenye kazi yake ya uaskari sasa. Kule alikua si mahali sahihi. Ata watumishi wenzie hawakupenda maigizo na maagizo yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamgomeaje Chief wako?Huyu diwani arudi kwenye kazi yake ya uaskari sasa. Kule alikua si mahali sahihi. Ata watumishi wenzie hawakupenda maigizo na maagizo yake
Mkuu refer Imran Kombe.Si rahisi kihivyo, wengi wao huwa wanakuwa na compromat zao kwa mfumo wa dead hand.
Kuna mmoja aliwahi ondolewa na Magu, ile inatangazwa tu nyumbani kwake pakavamiwa,wavamizi waliiba kila document na computer zote huko Mbweni,baadae akarudishwa zinazomhusu tu
Kukataa ni uhaini na adhabu ni inaweza kuwa kifo au kuishi kama marehemu jumbe... (RIP)Amekataa teuzi...mambo ni moto... Alhaji Msuya hatak mchezo.
Kimenuka. Amepigwa chini mazimaKawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.
Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula
I said.
=====
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibuMkuu Ikulu.
View attachment 2469861
Kukataa ni uhaini na adhabu ni inaweza kuwa kifo au kuishi kama marehemu jumbe... (RIP)
Hivyo msiwe mna andika ili mradi kuandika... una zani kwann wakina mbowe hawakati kwenda kwa Mh. Ni uhaini kukataa wewe kama mtanzania kwa nchi yako
Mkuu unaufahamu uhaini?Kukataa ni uhaini na adhabu ni inaweza kuwa kifo au kuishi kama marehemu jumbe... (RIP)
Hivyo msiwe mna andika ili mradi kuandika... una zani kwann wakina mbowe hawakati kwenda kwa Mh. Ni uhaini kukataa wewe kama mtanzania kwa nchi yako
Ninyi vijana wa 90s, hamjui kuna kazi unaolewa mpaka kifo.Kukataa teuzi ni uhaini? Unavuta bangi?
Kuna sababu za kukataa uteuzi ambazo zipo kwa taratibu na sio kila sababu in kubarikaKukataa teuzi ni uhaini? Unavuta bangi?