Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamgomeaje Chief wako?
Imeandikwa wapi masta..Kukataa ni uhaini na adhabu ni inaweza kuwa kifo au kuishi kama marehemu jumbe... (RIP)
Hivyo msiwe mna andika ili mradi kuandika... una zani kwann wakina mbowe hawakatai wakiitwa kwenda kwa Mh. Ikulu? Ni uhaini kukataa wewe kama mtanzania kwa nchi yako
Rais akikuteua kazi unaweza kukubali au kukataa naye akakubali au kukataa uchaguzi wako. Unaweza kumwambia unataka upumzike kazi hiyo au unaweza mshauri akubadilishe kazi (kama una level ya juu kama huyu na una CV ya kufanya kwingineko) au ukaomba upumzike kwa matatizo ya kifamilia au afya (kama kisingizio kipo).Kukataa ni uhaini na adhabu ni inaweza kuwa kifo au kuishi kama marehemu jumbe... (RIP)
Hivyo msiwe mna andika ili mradi kuandika... una zani kwann wakina mbowe hawakati kwenda kwa Mh. Ni uhaini kukataa wewe kama mtanzania kwa nchi yako
Mkuu chini hamna nyamaDuuuh aiseee,ngoja tuendelee kula mtori kwanza.....
IGP mpyaKawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.
Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula
I said.
=====
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
View attachment 2469861
Mavi ya kuku. Hivi nani mwenye uthubutu wa kukata Appointment ya Raisi baada ya kuteuliwa. Tena on a very sensitive and high profile post like this?!!!.Jamaa atakuwa kakataa. Hata mimi nisingekubali huo ujinga.
Mwaka wa shetani kwake mmmhKawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.
Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula
I said.
=====
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
View attachment 2469861
Issue ya zamani sana hiyo, hatuwezi itumia kama refMkuu refer Imran Kombe.
Kama umesahau.
Ajiqndaye kupumzika kwa amani kama amekataa.Huo ndio uanaume tujifunze kwake,popote ulipo we mpare kunywa pepsi nakuja kulipa
Hana jeuri hiyo. Atawahishwa kwenda kwa Baba kama kachomoaItakuwa jamaa kachomoa. Huu ndio uanaume. Huwezi kuwa DGIS kisha ukakubali kwenda kuwa Katibu Ikulu. Kudharirishana na upuuzi tu.
Mkuu unaufahamu uhaini?
Vitabu na practice ya Intelligence havijawahi kubadilika, tena kwa nchi zote.Issue ya zamani sana hiyo, hatuwezi itumia kama ref