Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Acheni haya maneno mengi! Hayapendezi kabisa. Nchi hii viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama waliopo na wastaafu ni watiifu mno kwa Amiri Jeshi Mkuu. 🙏🙏🙏
 
Sijui hua akipewa jina au ushauri hua anameza tu au anatafakari na kuuliza maswali?
Diwani amefanya kazi nzuri sana awamu ya tano. Leo hii unakuta mbowe na genge lake ndio wanataka atoke TISS na mama anakubali na kumshusha hadhi.
Uongo wa akina mbowe umekolea hadi kiongozi dhaifu wa ccm anaamini.
Ccm haijafanya kosa kuwashinda kabisa chadema kwenye uchaguzi mkuu 2020. Wananchi waliona kile kinachofanywa na ccm ya magufuli na kuipa ccm kura karibu zote.
 
Kuna deep state wenyewe
 
Uteuzi na utenguzi hauna uhusiana na chadema wala Mbowe......
 
Yani amaketaa SAFE HOUSE kama IKULU(ulivyomaanisha) au SAFE HOUSE kama SAFE HOUSE?

Kama SAFE HOUSE kama IKULU anasubmit vipi mawasliano na kuanza kutumia mapya ya IKULU? na kama ni SAFE HOUSE kama SAFE HOUSE hua wanaombwa kwenda SAFE HOUSE hadi wakatae?

Kiukweli hii story imeungwa ungwa sana hadi imenipoteza mm layman
 
akubali yeisha vinginevyo ni kujitia matatani bila sababu za msingi, tulimng'oa yule wa mtemi wa bungeni sasa itakuwa huyu? !! yaani mpaka sasa hivi hana cover yoyote ile kwa hiyo siyo threat kwa taifa... upo mzee... yaani ni raia kama raia wengine wa Tanzania.

awe mpole tuijenge nchi yetu.. !!
 
Suala la peter wa royal tour, halihusiki kweli?
Kutenguliwa balozi wa USA, na yeye kuondolewa kwake madarakani, huenda walishindwa kumpa mama siri na malengo halisi ya peter!
Nchi ngumu sana hii.
Maswali ni mengi kuliko majibu
Ohoooo Peter tena!!!!
 
Katiba ndivyo inavyosema?

Diwani sio wa kwanza kuukataa uteuzi!

Hata Chegeni pia aliukataa uteuzi wa kuwa RC.
Chegeni alikuwa na threat ipi ndugu?, Diwani mkurugenzi wa TISS ana rank kubwa, kumgomea Rais ni kujitia matatani zaidi.
 
Suala la peter wa royal tour, halihusiki kweli?
Kutenguliwa balozi wa USA, na yeye kuondolewa kwake madarakani, huenda walishindwa kumpa mama siri na malengo halisi ya peter!
Nchi ngumu sana hii.
Maswali ni mengi kuliko majibu
Very funny watu mnaonekana mna akili na wasomi mnapokuwa mnaamini idiotic ideas..
Kipindi cha Royal tour Samia sio wa Kwanza kufanya...Hata Kagame na Rwanda wamefanya...ni kipindi cha utalii cha kutangaza nchi baasi ..hakuna Siri yoyote Ile ingine
Nchi nyingi wamefanya
 
Kama yule jasusi mbobezi alitepeta baada ya kutikiswa na wenye system mpaka akakonda 🤣🤣🤣 japo alianza na kiburi sana baada ya kunyofolewa chamani akabakia anapiga majungu tu ya chini chini 😀 itakuwa huyo Diwani Athmani. Hakuna mtu anayeweza kuuzidi mfumo uwezo. Hakuna na hatatokea.

Hakuna mbabe nje ya Cheo cha kitaifa. Unachekechwa vizuri tu na mdomo unaufyata tumbav!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…