Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Ameukataa uteuzi na sio kutenguliwa!
Niliandika hapa juzi!Iweje Mkurugenzi TISS kupelekwa Ikulu!
Diwani ni mwenye kujitambua,ameukataa uteuzi ule.
Diwani ana uzoefu na serikali zaidi ya Nne za CCM.

Diwani ni afisa aliehudumu idara mchanganyiko za nchi hii kwa kiwango cha juu!

Diwani anaijua michezo yote ya CCM na magenge yake!

Diwani sio Kabudi au Lukuvi!

Diwani ndie afisa mwenye siri nzito za kilichojiri kati ya serikali hizi mbili .....

Serikali ya Magufuli na hii ya Samia!

Pia ieleweke yeye ndie alikuwa madarakani wakati JPM anafariki Dunia.

Yote yaliyojiri katikati hapo...
Ni Diwani ndie anaeyajua!

Diwani sio wa kubezwa!
Diwani anastahili kupewa ulinzi kwa usalama wake!

Kitendo cha kuikataa safe house,ina maana amekataa ku surrender mawasiliano yake yote.
Ili kuanza kutumia mapya ya Safe House!

Na mengi bado yanakuja,maana kadri inavyonyesha,ndio matobo yanavyozidi kuonekana.

"Rais Samia atengua uteuzi wa Diwani Athumani"

By Bakari Kiango
(Mwananchinewspaper)
Alhamisi,05/01/2023.

Dar es Salaam.

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Ikulu, Kamishna Diwani Athumani uliodumu kwa siku mbili baada ya kuteuliwa akitokea Idara ya Usalama TISS.

Kamishna Diwani aliteuliwa Januari 3, 2023 kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu, akitokea katika wadhifa wa Mkurungezi Mkuu wa TISS, nafasi aliyohudumu kwa siku 1,210 tangu alipoteuliwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli.

Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Januari 5, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, imeeleza kuwa nafasi ya Diwani imechukuliwa na Mululi Mahendeka aliyekuwa ofisa mwandimizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu.

Alamsikhi
10101.
The only alternative way is to neutralize him 😎 😎
Akumbuke yale ya Kombe Kule Moshi/Arusha
 
Kukataa uteuzi siyo kumtunishia misuli Rais!

Kuukataa uteuzi ni haki ya kikatiba!

Kuteuliwa huwa sio amri bali utashi.

Hata Raphael Chegeni aliukataa uteuzi.

Hata aliewahi kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza aliwahi kuukataa uteuzi wa JPM.

Halafu uelewe kwamba sio kila mtu yuko individual.

Watu huitana vikao kabla ya maamuzi kama hayo!

Usijenge dhana isiyokuwepo.
we mambo yako mengi ni ya kudhania na kusadikika. Nani kakuambia Chegeni alikataa uteuzi. Mbona una akili ndogo km K ya mjusi? Una shida gani kijana? Hakuna anayeweza nchi hii kukataa uteuzi wa Rais, elewa hivyo acha kujitungia mauwongo yako we pimbi. We huna unalojua kaaga kimya na jikubali kuwa uwezo wako ni mdogo sana kujadili mambo hayo.
 
Kiuhalisia kuna kundi liko TISS linalomuingiza chaka mteuzi.

Kwanza kiutaratibu,alipaswa kumstaafisha kisha ndio ampatie uteuzi.

Halafu kiuhalisia hawa maafisa wa ngazi hiyo,huwa wanaishia kupelekwa ubalozini.

Hii maana yake ni kuwa Disconnect na mfumo.

Na kwa wale ambao huwa wamestaafu kisheria,huwa bado wanakuwa karibu na kitengovkama wa
Hata wateuzi mara nyingi hiwatumia pale wanapotaka kufanya verification ya jambo fulani nyeti.

Sasa mama yeye anatengua kwa nia fulani,halafu anakupeleka Ikulu ili utazamwe 24×7.

Huyu amelitambua hilo,na hii itamsumbua sana kichwa mteuzi.
Sio rahisi hivyo....Idara sio mtu mmoja. Mama ana washauri wengi wazuri sana...
 
Huyo jamaa ndie "spy chief" wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii. Toka amepewa "Top job" ya kimedani ndie mtu alieruhusu upuuzi na ujinga mwingi wa kimedani kiasi cha kushusha hadhi taasisi hii adhimu.
Huyo ndie aliruhusu watu kuteswa,kupigwa,kuuwawa katika awamu ya marehemu. Sio mtu wa kumpa sifa kama unazozitaja hapa.
Na mwisho ni kwamba hana ubavu wa kukataa uteuzi wa mtu alieapa kumtii na kumlinda.
 
we mambo yako mengi ni ya kudhania na kusadikika. Nani kakuambia Chegeni alikataa uteuzi. Mbona una akili ndogo km K ya mjusi? Una shida gani kijana? Hakuna anayeweza nchi hii kukataa uteuzi wa Rais, elewa hivyo acha kujitungia mauwongo yako we pimbi. We huna unalojua kaaga kimya na jikubali kuwa uwezo wako ni mdogo sana kujadili mambo hayo.
🤣🤣
 
Kama ilikuwa collective responsibility ni rahisi Sana ukiwazacho!

Lakini kama system into blocks and divided into emotions hard to happen na kama it happen it will bring chaos in the system !!

Kiasi Kwamba hata chupi za chumbani za baba na Mama zitaletwa sebuleni for the kids to see!!

Personal view after digestion of the stuff!
Watu wenye mamlaka wanachukia sana vitu viwili, usaliti na dharau. Hivyo vitu viwili sio rahisi kusamehewa.
 
Kwa sababu wengi wenu huwa mnawaza ndani ya Box...siwezi kukulaumu.

Ila sidhani kama unaelewa idadi ya vikao haramu,vinavyoitishwa mahoteli makubwa makubwa kila siku,wakati wengine tumelala!

Wewe unadhani unailelewa mitandao yote nchi hii?
Vikao viendelee kuitishwa, kwa siri. Ila kuna watu wanaipenda Nchi hii, wazalendo sana, Mama yuko vizuri.
 
[emoji1787][emoji1787]
Ninaelewa kwa sababu niliongea naye,alipima ukubwa wa biashara zake.

Akapima ukubwa wa maslahi ya u-RC!

Akapima mikopo aliyo nayo benki inayohusiana na biashara hizo.

Akaamua kusimamia biashara zake.

Kwa sababu akishakuwa mtumishi wa umma,angelazimika kuzikabidhi kwa mtu katika kipindi chote cha uteuzi.

Na hao sio wa kwanza kuukataa.

Mecky Sadick aliukataa pia uteuzi wa JPM na yupo mtaani hajawahi sumbuliwa.
 
Si umesema amekataa kusarenda mawasiliano na siri za serikali au ulikuwa unadanganya
Nimesema kuukataa uteuzi ni sawa na kukataa kusurrender communications zake.

Ili aanze kutumia identity mpya za Ikulu.
Sio siri za serikali,wacha kunilisha maneno yako.

Kuna paragraph hata moja nimeongea kuhusu neno "siri za serikali"?¿
 
Mamlaka ya Rais aliyonayo na hizi mahakama zetu zilivyo za kihuni. Diwani anaweza pigwa risasi mbele ya camera akirekodiwa live tena ikiwa asubuhi na msifanye lolote. Kesi ikaendeshwa kienyeji ikaisha.

Kafa Imran Kombe na kesi ya kipuuzi na cheo chake cha kijeshi sembuse huyu Diwani. Hizi story za kitoto kaa nazo nyumbani kwenu. He is a threat but not to the extent you guys are afraid of
 
Back
Top Bottom