TANZIA Diwani Kata ya Igusule, Nzega afariki dunia

Wacha idadi ya masheitwan ipungue nchini
 
RIP Mh Dotto! Hivi ni Dotto nani na alikuwa anaishi eneo gani hapo Igusule? Maana nimewahi kuishi Nzega na nilimalizia elimu yangu ya msingi katika Shule ya Msingi Igusule, huenda nikamfahamu...
 
Basi na uchaguzi usifanyike wateue mwingine. Sote tuseme ameen
 
Hii kitu inang'oa kila siku.
mwishowe utajikuta unakwenda stendi ama hosp ama kanisani ukakuta hakuna watu wameisha.....
 
Mbona wabunge hawafi?
Jikinge mzee huu ugonjwa hauchagui haubagui ukikufika au ukimfika mtu wako wa karibu ndio utaelewa. RIP wote waliotangulia hili ni janga la dunia sio mtu fulani na fulani
 
Hayo maCCM na yafe yote tu! I hope they rot in hell for eternity!
 
Mbona wabunge hawafi?
usiwe na shaka watapukutika mpaka wataanza kujiuzulu maana hii Uturn ya korona niliwahi kuiandika hapa,kuwa dua zilikubaliwa lakini saasa baada ya kukubaliwa na korona kuondoka MiCCM ikaona inapeeeeendwa saaaaaana ,wakafikia kuiba uchaguzi ,yaani wafanye kumsukuru Mungu waendeshe uchaguzi wa haki na huru wao wakakufuru....

Tukubaliane kuwa CCM wamemkufuru Mungu na sasa Mungu ameipigisha korona U-turn kurudi Tanzania ,CCM mtapukutika kupita maelezo,hio kitu inakuja kwa speed ya ajabu SGR kama imeanza na hao vitarishi basi itapanda mpaka ikulu ,pale Zanzibar ilipiga hodi kosakosa maalim kasepa na wakatangaza ila kama wangekaa kimya leo hii tusingekuwa nae,ila nafikiri lile ni onyo kwanini alijiunga nao.

Kumbuka wale watu wanabii walipopelekewa azabu na wakaamriwa kuondoka,walionywa wakati wa kuondoka hakuna kutazama nyuma Maali Seif ametazama nyuma.
 
... halafu kuna mshenzi mmoja aliwavua barakoa kwenye kikao kimoja huko Moshi! Yaani unachukua tahadhari ili tupone jitu jingine kisa lina madaraka halitaki tu!
 
Naona umeamua kumuanika Mzee wangu Mgalula.
Si,vizuri hivyo ndugu,dunia duara,
Leo kwangu kesho kwako.
 
Bwana huwa hatwai. Ni shetani ndo huwa anatwaa ila bwana alitoa
 
Mmeambiwa pigeni nyungu...mtakwisha kama mnapuuzia huu ushauri...shauri yenu!!

COVID-19 Tanzania haipo ila Pigeni nyungu - piga nyungu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…