TANZIA Diwani Kata ya Igusule, Nzega afariki dunia

..."Ukitaka kujua ukubwa wa tatizo, zungumza na wahudumu wa afya wa hospitali ya Seketure....".
Hivi uongo na uzandiki huwa vinawasaidia nini....Hospitali kubwa ya Mkoa patakosa vifo kweli? Nimehudumu hospitali kubwa wagonjwa ni wengi na vifo ni vingi ukilinganisha na hapo nyumbani kwenu!
 
Du! Mkuu ahsante kwa taarifa, kumbe tatizo ni kubwa tunajidanganya nilikuwa Mwanza juzi watu wanakula shangwe bila tahadhali, ukifika city mall pale ni balaa
Achana na bavicha huyo...lengo lao ni kutaka unabii wa Tundu Lissu utimie eti Tanzania watakuwa wanaokota mizoga ya watu barabarani.....
 
Du! Mkuu ahsante kwa taarifa, kumbe tatizo ni kubwa tunajidanganya nilikuwa Mwanza juzi watu wanakula shangwe bila tahadhali, ukifika city mall pale ni balaa
Ndugu yangu chukua tahadhari kadiri uwezavyo, usidanganywe na wanasiasa. Hata wao wapo hatarini sawa na sisi. Lakini unafiki ndio unawafanya watamke hata yale ambayo hayapo mioyoni mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh huyu ni Diwani kama sio wa nne kufariki basi wa tano. Uchaguzi wa marudio ni hasara kwa taifa.
Kwanini uchaguzi uwe hasara? Hivi kweli wananchi wa kata husika hawawezi kuchagua diwani wao pasipo kutumia gharama?

Mfumo wetu wa uchaguzi ukiruhusu wananchi wajichagulie kiongozi wao wala hakuna hata hitaji la maboksi na "ballot paper"; kiongozi atapatikana kwa uwazi kabisa na washindwa watampongeza aliyechaguliwa
 
Naona umeamua kumuanika Mzee wangu Mgalula.
Si,vizuri hivyo ndugu,dunia duara,
Leo kwangu kesho kwako.
Dhamira siyo kumwanika. Hata mie nimefiwa na ndugu zangu 3. Pole kwa kufiwa na ndugu yako. Kama imekutatiza, naomba unisamehe. Haikuwa dhamira yangu. Nami ni gali kwenye majonzinya ndugu yangu, halijaisha hata wiki tangu atutoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna mtu anatumia madaraka yake na kutangaza TZ haina corona!
 
Kwiyoo.. walete walete Kwiyoo Kwiyoo..!
MaCCM yakifa mimi siwezi kulia..
Nitayatupa Bugili-Chato yawe chakula cha Simba.. [emoji126][emoji1739]
hata wewe pamoja na umasikini wako bado utakufa tu[emoji38][emoji38][emoji38].

unaona dunia ilivyo haiko fair???
 
Matatizo ya Kupumua Ni UGONJWA GANI HUO?
 
Duuh huyu ni Diwani kama sio wa nne kufariki basi wa tano. Uchaguzi wa marudio ni hasara kwa taifa.
Siyo hasara wenyewe wanasema demokrasia ina gharama. Na hizo ndo gharama zake
 
Ukiona wananchi wanafuraia umauti wa mwananchi mwenzao kwa itikadi ya uongozi, faham kuwa kiongozi wa nchi hiyo aongozi MIOYO ya wananchi wake bali anaongoza MIILI yao.
 
hata wewe pamoja na umasikini wako bado utakufa tu[emoji38][emoji38][emoji38].

unaona dunia ilivyo haiko fair???
Najua sana mkuu nitakufa nakuoza kabisa. Kazi ipo kwenu "wazee wa viete" mnaojiona miungu watu kwa kodi zetu, na matendo yenu maovu ya kutesa na kuua watanzania.
Napata furaha ya nafsi MaCCM mkifaga.. Na InshaaAllah.. mtakufa sana... Kwioooo.. 💃🕺
 
Duuuuh hali ni mbaya jomoneeeeeeh
 
Ukiona wananchi wanafuraia umauti wa mwananchi mwenzao kwa itikadi ya uongozi, faham kuwa kiongozi wa nchi hiyo aongozi MIOYO ya wananchi wake bali anaongoza MIILI yao.

Ni vivyo hivyo ukikuta wananchi wanawaombea kifo wananchi wengine kwa itikadi za kisiasa na hata mkuu mwenyewe.

Dalili za wazi kuwa uongozi wa kidemokrasia umetushinda. Kwa maana ya kwamba tunapelekeshana.

Hali hii yahitaji maridhiano ya dharura ya kitaifa kuiondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…