Diwani wa Chadema akamatwa na Bunduki

Diwani wa Chadema akamatwa na Bunduki

Kwani huyo ana tofauti gani na yule kada wa ccm aliyechangia chama na kupiga picha na mwenyekiti wa chama na baada ya wiki kadhaa akapatwa na kashifa ya ujambazi?hivyo huyo diwani hawezi kukichafua chama CDM kwakuwa ni raia kama raia mwengine yeyote na anaweza kufanya makosa tu...........ccm tafuteni pakutokea,msitafute hoja nyepesi nyepesi zisizo na maslahi kwa Taifa.....:alien::rant:
 
and why do u associate chenge,lowasa and rostam with cccm?? bogus kabisa wewe

Hao ni mafisadi ambao vyeo vyao wamevipata kupitia CCM na vinatugharimu. Huyo diwani hiyo ni Bundiki yake hajapewa na Chadema si sera ya chadema na wala Chadema haijamtuma kuifukia huko shambani. Mbona usimhusishe na kabila lake au Dini yake lakini unahusisha chama? Hiyo ni propaganda kaka sijui dada.
 
AK47 si mchezo.Nadhani tatizo ni aina ya silaha.

Pamoja na hivyo mkuu, bado hiyo siyo kazi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na kwamba wengine wanadai kuwa yeye ni mkuu wa usalama wa mkoa lakini siyo afisa upeleleze wala ukamatati wa mkoa. Kama hivyo basi tusema kwa kuwa rais ni amiri jeshi mkuu basi ndiye aende kupigana kule front line
 
wanajeshi wote waliostaafu JWTZ wakazi wa Mkoa wa Mara wana AK 47 na wengi ni makada ya CCM, kama unabishi jaribu kuiba mifugo yao uone
 
Why wasimkamate RA kwa isue ya KAGODA? Bunduki kitu gani
SIKU UKIIMBISHWA MTAJI WA MASKINI.... Ndo utafahamu bunduki ni kitu gani!!

Joke: huenda mheshimiwa diwani alipopewa gwanda za cdm akajua ameshakuwa mwanajeshi anahitaji kitendea ghaaz mura!
 
amekamatwa wamemfanyaje?amepelekwa mahakamani? au umbea tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nyie watoto wa mafisadi
 
I was never trusted chadema, and I will not. Wote hao ni maharamia tu hamna lolote.
 
.......Ni mtanzania wa kawaida kwahiyo hayo ni makosa binafsi yasiusishwe na chama.....cha msingi uchunguzi utafanyika tutajua ukweli..tusubiri...

Ukishangia kwenye siasa tofauti haionekani kati ya mambo binafsi na ya chama kilichokuamini! Tusiwe wanafiki kwanini wale tusiowapenda tunawahusisha matendo yao na vyama vyao. Kama ni kiongozi basi alihitajika awe kigezo cha chama chake hivyo kaamuwa kikihusanisha chama kilichomwamini na makosa makubwa, hatujui bunduki hiyo imeshatumika mara ngapi katika matokeo ya mauwaji
 
I was never trusted chadema, and I will not. Wote hao ni maharamia tu hamna lolote.

Si lazima kuandika kiingereza kama hukijui. Sema I never trusted...MMpssssy@#8***** Usiwe haramia wa lugha usiyoijua
 
Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii.

Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na sheria. Alikiri kwamba yeye na ndugu zake wamekuwa wakimiliki

Alichukuliwa kutoka kikao cha madiwani akahojiwa na kukiri. Kisha akawapeleka kwenda kuwaonesha mahali alipoifukia

JANA NILINUNUA GAZETI LA JAMBO LEO LINAKICHWA CHA HABARI KIKUBWA KIKISEMA '''' CHADEMA INAMILIKI SILAHA KALI ZA KIVITA ''' HABARI HII ILINISHANGAZA SANA KWANZA NILIJIULIZA IMEKUAJE TENA JAMBO HILI!!!!. AJABU NI KUWA NILIPOSOMA NDANI . HABARI ILIMHUSU DIWANI WA CHADEMA KUMILIKI ak47 NA SIO CHAMA....HII ILINIFANYA NIJIULIZE HASA KUSUDI LA MWANDISHI WA HABARI HII LILILENGA NINI? PIA BAADA YA KUSIKIA JINSI MKUU WA MKOA ALIVYO KWENDA KWENYE TUKIO KAMA VANDAME INANIFANYA NIHISI KUWA KUNA MKONO WA MTU KATIKA TUKIO ZIMA
MIMI NAWAASA CHADEMA WAWE MAKINI MAANA MAFISADI HAWAPENDI!
 
Ninakumbuka zamani kidogo ndani ya UVCCM niliambiwa kuwa kuna prapaganda nyeusi (uongo kwa 100%), kijivu (mchanganyiko wa ukweli na uongo, 50% kwa 50%) na nyeupe (ukweli tupu). Kwa jinsi ilivyotangazwa kwenye TV hii ni propaganda nyeusi. Kama CCM bado tunaamini kuwa propaganda nyeusi za kuchafua wengine (Watu au Chama) kwa kusingizia na hata kutoa taarifa za uongo na za hatari kama hizi, nina wahakikishia gamba tunalodai tumejivua lilikuwa la kuzirai na sasa tumejivika gamba la mauti.

Shida mliyonayo nyie viongozi wa Chama changu (CCM) ni moja tu; hakuna kati yenu ambaye anauwezo wa kufanyia kazi madai ya Watanzania kwa sasa. Mmezoea vitu vya bure na kutumia wengine kwa faida yenu. Watanzania wa sasa hivi wamekwishachoka bla bla na usanii. Ninachoweza kuwaambia CCM itakufa amini msiamini kama tutaendelea kuwa wasanii na kutumia propaganda nyeusi eti kukirudishia chama "uhai". Watanzania tuliwavumilia kwa muda mrefu sana tukifikiri kuwa mtaamka lakini naona mnazidi kulala usingizi kuzidi ule wa pono.

Only The Truth will Set You (CCM) Free!! No more lies nor Tricks Will Make A Better, Healthier and Livable Tanzania. Wake up CCM!!!
 
Back
Top Bottom