Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
- Thread starter
- #21
Mwita wao walikuwa wametoka kupaki gari lao kwa maana guest waliyofikia haina parking. Wakiwa wanarudi ndiyo wakatekwa na kupakiwa ndani ya gari la watekaji. Kuhusu suala la Nanyaro kuvamia sterling hapo ndipo nimeona pamewachanga wengi, kifupi nimewasiliana na Nanyaro anaeleka Igunga mjini hivyo ataingia kwenye net na kulitolea ufafanuzi mzuri ili akidhi kiu yenu.Mzee wa rula bado sijakusoma vizuri;
-Waliotekwa walipandishwa kwenye gari ya watekaji ama gari ya waliotekwa?
-Unaweza kutoa ufafanuzi wa jinsi tukio lilivyotokea hasa pale Nanyaro alipokamata steering na watekaji wenzake na dereva wakakimbia. Huyo Boniface aliyekuwa na mh. Diwani alikuwa wapi wakati huo?