Elections 2010 Diwani wa CHADEMA (na member wa JF) atekwa Igunga

Hao jamaa waliingiaje kwenye gari?... watekaji walikuwa na kimondo? au kimeme?
Kwanini purukushani zisiwe kabla ya kuingia ndani ya gari?
Au walidhani wanapata lifti?...... Story haijatulia, ila picha zote zilizopo online zinaonyesha CCM wakifanyiwa utemi.
It's hard to believe you guys even if we wanted to.
 
ingawa sikuwepo wakati wakudai uhuru lakini sidhani kama ilikuwa kazi rahisi, lazima kina mwl.Nyerere walipitia wakati mgumu ndo mana kuna nchi nyingine zilimwaga damu, mambo ndo kama haya!
Mungu naomba uwape hekima wanaopigania mabadiliko ndani ya nchi yetu Tz
 
Nanyaro thibitisha tuhuma hizi kwani Wanawanchi wanapata Hasira kwani wamechoka na kuchoshwa na Ccm hata Kikwete anajua.
 
liverpool bana,
umetoka nje ya mstari.

Katika wa2 mizigo humu jamvini huyu Best ni mmoja wao! Utafikiri kalazimishwa kuja humu. Mtu mwenye uwelewa wa kujua mambo yalivyo hana haja ya kujikanyagakanyaga humu. Kama una kichwa maji acha kuingia humu nenda kwanza Mirembe ama Muhimbili ukatibiwe,Kondoo wee! Unahabarishwa news unaleta mambo yako ya mwaka 47 humu. Kwenda zako kondoo wee!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18042-jamiiforums-rules.html

SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.

5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.
 
Diwani wa CDM Ndg Nanyaro Ephata alitekwa yeye na mwenzake mmoja aitwaye Boniface na kupelekwa kusikojulikana. Wakiwa njiani kurudi hotelini ghafla walivamiwa na watu ambao walikuwa katika Toyota Landcruiser S/W T 203 BKW na kutekwa.

Huo ulikuwa ni usiku wa saa saba ambapo walikuwa wamemaliza kikao chao na kwenda kupaki magari mbali kidogo na hoteli waliyofikia ambayo haina parking. Wakiwa ndani ya gari, waliambiwa kuwa wasali sala zao za mwisho kwani kiherehere chao ndicho kilichowaponza! Baada ya kusikia hivyo Nanyaro ambae ni diwani wa Chadema Arusha kata ya Revolosi alijipanga ama afe yeye au wao nao wafe, hivyo alimrukia dereva na kuanza kung'an'gania steringi ili gari lipoteze mwelekeo. Kuona balaa limeanza jamaa mmoja alikimbia katika hao watekaji na kubaki watatu.

Dereva alipoona anashindwa kulimudu gari alimpa kipigo Nanyaro na kumsukuma nje ya gari yeye na mwenzake na kuondoka kwa kasi. Huo ulikuwa ni usiku na porini, kibaya zaidi katika purukushani ile jamaa walidondosha simu katika gari lile. Wakajitahidi kufika mjini na kupata msaada toka kwa viongozi wa CDM na kwenda kulipoti tukio hilo polisi ambapo walipofika walikuta tayari wameshafunguliwa kesi na wale jamaa kuwa walitaka kuwateka hao jamaa na wao walifanikiwa kuwadhibiti na kuwapora simu! Basi ikabidi nao watoe maelezo ambayo yalipelekea kurudishiwa simu zao!

Angalizo langu, tabia hii ya utekaji watu naona imeanza kushamiri, tabia hii ni mbaya na inapaswa kukomeshwa mara moja.
h
KAMA unajifunza utunzi wa riwaya basi am sorry kukueleza kwamba hiyo kazi haikufai kv huna kipaji hicho!!!! Simulizi yako ina mapungufu mengi ya kitaalamu!!!
***Hadithi haina mvuto
***Hakuna msuko mzuri wa matukio/kimsingi, msuko wa matukio haumshawishi msomaji kutamani kuendelea kusoma baada ya hii DIBAJI.
***Simulizi haina uhalisia...hata kama ni ya kubuni, uhalisia ni muhimu
***Baadhi ya wahusika wa hadithi walipotea kienyeji
***Kuna mapungufu makubwa ktk matumizi ya mandhari
 
Ndugu Nanyaro heshma mbeeeele kama tai, Mkuu tupe kinachoendelea mara baada ya huyo kijana wa CUF kuamua KUTUPA KIPANDE CHAKE CHA DHAHABU chooni kwa kuwashambulia kimwili wapiga kura wake watarajiwa.
 
liverpool bana,
umetoka nje ya mstari.

Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.
Kwanini wewe Mtumishi kila Bigirita anapoguswa huwa unajitokeza haraka sana????? mbona hayo maneno ya liverpoolfc ni ya kawaida ukilinganisha na wachangiaji wengine. No!!!! acha kutisha members kwa sheria wewe pia ni mtu si roboti jirekebishe.
 
Thibitisha uliyoyasema hapo kwenye bold.
Ukishafanya hivyo, utoe maoni yako kama habari aliyoileta mwenzetu inaeleweka bila maswali.

NOTE: ni wachangiaji wangapi wameomba maelezo ya ziada? wachangiaji wangapi wameomba Nanyaro mwenyewe aje kutoa maelezo?
 
Hivi ni nani katuloga watz mpaka tunafanya matendo yasiyo na maadili?
 
Ndugu Nanyaro heshma mbeeeele kama tai, Mkuu tupe kinachoendelea mara baada ya huyo kijana wa CUF kuamua KUTUPA KIPANDE CHAKE CHA DHAHABU chooni kwa kuwashambulia kimwili wapiga kura wake watarajiwa.
Eti katukanwa vibaya sana na wafuasi wa CDM, angewateka basi kam walivyofanya CCM mbele ya Wassira.
 
h
KAMA unajifunza utunzi wa riwaya basi am sorry kukueleza kwamba hiyo kazi haikufai kv huna kipaji hicho!!!! Simulizi yako ina mapungufu mengi ya kitaalamu!!!
***Hadithi haina mvuto
***Hakuna msuko mzuri wa matukio/kimsingi, msuko wa matukio haumshawishi msomaji kutamani kuendelea kusoma baada ya hii DIBAJI.
***Simulizi haina uhalisia...hata kama ni ya kubuni, uhalisia ni muhimu
***Baadhi ya wahusika wa hadithi walipotea kienyeji
***Kuna mapungufu makubwa ktk matumizi ya mandhari
Hivi mtu ajipange kuzusha kitu itamsaidia nini katika jamii ya watu weledi kama sisi? Sina jinsi ya kukushawishi zaidi ya hapo,
 
Achana na hoa Mi-Thomaso, tuendelee na kazi moja ilioko mbele yetu Igunga.

First Thing First (FTF); baada ya mhuni Muhona kukisaliti KAFU sijui KAVU kwa kuwashambulia baadhi ya wapiga kura migumi kwa shida ya kukiunga mkono CHADEMA wakati alishawakatia kitu kidogo huko nyumba, kilichobaki hivi sasa kwa chama chake hapo kesho ni kilio tu.

... mwiba wa kujidunga mwenyewe bwana!!!!!!!!!!!!! 'Mkigoma' atakua yuko hapa jukwani bado?????
 
Wakuu,ni kweli green guard walituteka usiku,tukielekea kulala,ghafla gari ilifunga break mbele yetu,kisha mabaunsa wakatuteka,na gari aina ya Landcruiser kuondoka kwa kasi ya ajabu,kuelekea porini,ndani ya gari tulilazimishwa kunyanyua mikono juu,
Tukiwa ndani ya gari,hawa mabaunsa wanne walitutaka tuombe sala za mwisho,kwani ndio mwisho wetu,porini gari ikapunguza mwendo sana,kama vile inataka kusimama,ndipo ghafla nikarukia kwenye sterling,hivyo gari kukosa mwelekeo na kusimama porini na hapo purukushani ikaanza,sisi tukipambana nao,ndipo wakatuzidi na kututupa porini,tukakomaa porini hadi asubuhi
Asubuhi tukaenda polisi kuripoti ndipo tukakuta tayari hawa wahuni walishafika na kudai eti sisi ndio tumewateka,baada ya kutoa maelezo upelelezi unaendelea
Kimsingi bado tupo Imara,na mapambano yanaendelea
 
Ni bahati mbaya sana kwamba aina ya maripota tulionao leo ki kweli hawakidhi haja. Binafsi ni mnazi wa siasa za Igunga lakini habari tunazopatiwa leo na wenzetu walio mstari wa mbele hazina mjazo (volume) ya kutosha kwa umuhimu wa tukio lenyewe.
 
Wakuu,ni kweli green guard walituteka usiku,tukielekea kulala,ghafla gari ilifunga break mbele yetu,kisha mabaunsa wakatuteka,na gari aina ya Landcruiser kuondoka kwa kasi ya ajabu,kuelekea porini,ndani ya gari tulilazimishwa kunyanyua mikono juu,
Tukiwa ndani ya gari,hawa mabaunsa wanne walitutaka tuombe sala za mwisho,kwani ndio mwisho wetu,porini gari ikapunguza mwendo sana,kama vile inataka kusimama,ndipo ghafla nikarukia kwenye sterling,hivyo gari kukosa mwelekeo na kusimama porini na hapo purukushani ikaanza,sisi tukipambana nao,ndipo wakatuzidi na kututupa porini,tukakomaa porini hadi asubuhi
Asubuhi tukaenda polisi kuripoti ndipo tukakuta tayari hawa wahuni walishafika na kudai eti sisi ndio tumewateka,baada ya kutoa maelezo upelelezi unaendelea
Kimsingi bado tupo Imara,na mapambano yanaendelea
Tunashukuru kwa hii update, sasa hii ina sura ya taarifa. Pole kamanda.
Mambo yanaendeleaje mstari wa mbele?
 
Wakuu,ni kweli green guard walituteka usiku,tukielekea kulala,ghafla gari ilifunga break mbele yetu,kisha mabaunsa wakatuteka,na gari aina ya Landcruiser kuondoka kwa kasi ya ajabu,kuelekea porini,ndani ya gari tulilazimishwa kunyanyua mikono juu,
Tukiwa ndani ya gari,hawa mabaunsa wanne walitutaka tuombe sala za mwisho,kwani ndio mwisho wetu,porini gari ikapunguza mwendo sana,kama vile inataka kusimama,ndipo ghafla nikarukia kwenye sterling,hivyo gari kukosa mwelekeo na kusimama porini na hapo purukushani ikaanza,sisi tukipambana nao,ndipo wakatuzidi na kututupa porini,tukakomaa porini hadi asubuhi
Asubuhi tukaenda polisi kuripoti ndipo tukakuta tayari hawa wahuni walishafika na kudai eti sisi ndio tumewateka,baada ya kutoa maelezo upelelezi unaendelea
Kimsingi bado tupo Imara,na mapambano yanaendelea
Tunazidi kuwaombea, tupo pamoja nanyi katika sala. Mungu atawasimamia daima! Poleni sana.
 
Pole sana diwani wetu sisi tuko nyuma yenu tukiwaombea wote wenye hila lazima washindwe kwa jina la Yesu hila zao leo ndiyo mwisho wao tuko nyuma yako.

Wakuu,ni kweli green guard walituteka usiku,tukielekea kulala,ghafla gari ilifunga break mbele yetu,kisha mabaunsa wakatuteka,na gari aina ya Landcruiser kuondoka kwa kasi ya ajabu,kuelekea porini,ndani ya gari tulilazimishwa kunyanyua mikono juu,
Tukiwa ndani ya gari,hawa mabaunsa wanne walitutaka tuombe sala za mwisho,kwani ndio mwisho wetu,porini gari ikapunguza mwendo sana,kama vile inataka kusimama,ndipo ghafla nikarukia kwenye sterling,hivyo gari kukosa mwelekeo na kusimama porini na hapo purukushani ikaanza,sisi tukipambana nao,ndipo wakatuzidi na kututupa porini,tukakomaa porini hadi asubuhi
Asubuhi tukaenda polisi kuripoti ndipo tukakuta tayari hawa wahuni walishafika na kudai eti sisi ndio tumewateka,baada ya kutoa maelezo upelelezi unaendelea
Kimsingi bado tupo Imara,na mapambano yanaendelea
 
Kwanini wewe Mtumishi kila Bigirita anapoguswa huwa unajitokeza haraka sana????? mbona hayo maneno ya liverpoolfc ni ya kawaida ukilinganisha na wachangiaji wengine. No!!!! acha kutisha members kwa sheria wewe pia ni mtu si roboti jirekebishe.

Mkuu feedback, asante kwa "ushauri."

mtumishi.
 
Back
Top Bottom