Elections 2010 Diwani wa CHADEMA (na member wa JF) atekwa Igunga

Mwita wao walikuwa wametoka kupaki gari lao kwa maana guest waliyofikia haina parking. Wakiwa wanarudi ndiyo wakatekwa na kupakiwa ndani ya gari la watekaji. Kuhusu suala la Nanyaro kuvamia sterling hapo ndipo nimeona pamewachanga wengi, kifupi nimewasiliana na Nanyaro anaeleka Igunga mjini hivyo ataingia kwenye net na kulitolea ufafanuzi mzuri ili akidhi kiu yenu.
 
mi nimemuuliza hapo juu, na nimemwambia story yake inavuja, yeye anakuwa mkali badala ya kueleza vizuri.
 
mi nimemuuliza hapo juu, na nimemwambia story yake inavuja, yeye anakuwa mkali badala ya kueleza vizuri.
Pole mama kama umeona nimekuwa mkali, muda so mrefu Nanyaro atakuja kutoa ufafanuzi ilikuwaje maana mtu ikiripoti kuna weza kuwa na mapungufu fulani lakini naomba uelewe hali ilikuwa hivyo.
 
taratibu wewe!!!
unatoka povu nini sasa!!
 
Pole mama kama umeona nimekuwa mkali, muda so mrefu Nanyaro atakuja kutoa ufafanuzi ilikuwaje maana mtu ikiripoti kuna weza kuwa na mapungufu fulani lakini naomba uelewe hali ilikuwa hivyo.
Dont F with me bitc.!
hata kusoma hujui.
 

Mkuu alieanzisha topic sio Crashwise, soma tena.
 
Bila kujitoa mhanga nadhani tungekuwa tunazungumza mengine, halafu Nanyaro ni mwanaJF hapa ila kutokana na mazingira ya Igunga kuna kipind hapatikani ila atakuja kuthibitisha habari hii kwa wale wenye mashaka kama Birigita.
Hao ndio cdm,habari njema habari mbaya na habari mbaya habari njema kwao,km mnataka serikali huria hizo ndizo mbivu zake,na CUF nao wakianza kuteka,NCCR nao,UDP,nk,patakalika,msiwe mnashangilia habari mbaya kwa jirani itakuwa kesho kwako umchukie jirani nae akishangilia yakikukuta kwako.
 
I read kwenye mwananchi la alhamisi kuwa Wasira aliomba CCm wanyooshe vidole wakanyoosha, kisha akaomba CDM wanyooshe hakuna aliyenyoosha, akasema ah kumbe hawapo! ( Mind u he didn't ask for CUF, UPDP etc)

Basi ghafla vijana nyuma wakanyoosha vidole viwili huku wakiimba nguvu ya umma! Akasema kumbe mpo! Immediately wakatekwa na kupelekwa kusikojulikana! That has been published in Mwananchi toleo la alhamisi na kushuhudiwa na wahariri wao,

Vijana walipolikimbiza gari ndio kibao kikawageukia kuwa wao ndio wameenda kufanya fujo mkutanoni..seriously...
 
Cha kushangaza waliteka watu mbele ya Wassira tena kwenye kadamnasi, mpaka akina January wakaenda kutafuta suluhu halafu watu wanashangaa kama hii si tabia ya CCM!
 
kAMA TUKIO HILI NI LA KWELI BASI TUNAKOELEKEA KUBAYA NINACHO WAAMBIA CCM WAKIENDEKEZA TABIA HII MWISHO WAKE MBAYA SANA KWAO ISIJE FIKIA WANANCHI WAKASHIKA BUNDUKI NDIO TUTAONANA WABAYA SANA KWA KWELI.
 
You're right, hilo ndilo lililopelekea January akutane na Dr Slaa kuweka mikakati ya kufanya kampeni kwa misingi ya ustaarabu.
 

Huo ni ushahidi kwamba mzee wa kusinzia ndiye anasimamia zoezi la mungiki wa ccm kuwateka wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wa chadema.

Na kwahiyo basi serikali kupitia kwa waziri wake mzee wa kusinzia ndiyo inaendesha zoezi haramu la kuwateka wafuasi wa chadema.
 
Nanyaro ni member hapa JF aje atujuze vizuri kitu gani hasa kilitokea. Maadamu hata hao waliripoti polisi basi wameshafahamika ni nani.

m PM aje atakuja kutuambia yote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…