Katika wa2 mizigo humu jamvini huyu Best ni mmoja wao! Utafikiri kalazimishwa kuja humu. Mtu mwenye uwelewa wa kujua mambo yalivyo hana haja ya kujikanyagakanyaga humu. Kama una kichwa maji acha kuingia humu nenda kwanza Mirembe ama Muhimbili ukatibiwe,Kondoo wee! Unahabarishwa news unaleta mambo yako ya mwaka 47 humu. Kwenda zako kondoo wee!
hDiwani wa CDM Ndg Nanyaro Ephata alitekwa yeye na mwenzake mmoja aitwaye Boniface na kupelekwa kusikojulikana. Wakiwa njiani kurudi hotelini ghafla walivamiwa na watu ambao walikuwa katika Toyota Landcruiser S/W T 203 BKW na kutekwa.
Huo ulikuwa ni usiku wa saa saba ambapo walikuwa wamemaliza kikao chao na kwenda kupaki magari mbali kidogo na hoteli waliyofikia ambayo haina parking. Wakiwa ndani ya gari, waliambiwa kuwa wasali sala zao za mwisho kwani kiherehere chao ndicho kilichowaponza! Baada ya kusikia hivyo Nanyaro ambae ni diwani wa Chadema Arusha kata ya Revolosi alijipanga ama afe yeye au wao nao wafe, hivyo alimrukia dereva na kuanza kung'an'gania steringi ili gari lipoteze mwelekeo. Kuona balaa limeanza jamaa mmoja alikimbia katika hao watekaji na kubaki watatu.
Dereva alipoona anashindwa kulimudu gari alimpa kipigo Nanyaro na kumsukuma nje ya gari yeye na mwenzake na kuondoka kwa kasi. Huo ulikuwa ni usiku na porini, kibaya zaidi katika purukushani ile jamaa walidondosha simu katika gari lile. Wakajitahidi kufika mjini na kupata msaada toka kwa viongozi wa CDM na kwenda kulipoti tukio hilo polisi ambapo walipofika walikuta tayari wameshafunguliwa kesi na wale jamaa kuwa walitaka kuwateka hao jamaa na wao walifanikiwa kuwadhibiti na kuwapora simu! Basi ikabidi nao watoe maelezo ambayo yalipelekea kurudishiwa simu zao!
Angalizo langu, tabia hii ya utekaji watu naona imeanza kushamiri, tabia hii ni mbaya na inapaswa kukomeshwa mara moja.
Kwanini wewe Mtumishi kila Bigirita anapoguswa huwa unajitokeza haraka sana????? mbona hayo maneno ya liverpoolfc ni ya kawaida ukilinganisha na wachangiaji wengine. No!!!! acha kutisha members kwa sheria wewe pia ni mtu si roboti jirekebishe.liverpool bana,
umetoka nje ya mstari.
Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.
Thibitisha uliyoyasema hapo kwenye bold.Kwanini wewe Mtumishi kila Bigirita anapoguswa huwa unajitokeza haraka sana????? mbona hayo maneno ya liverpoolfc ni ya kawaida ukilinganisha na wachangiaji wengine. No!!!! acha kutisha members kwa sheria wewe pia ni mtu si roboti jirekebishe.
Watu wameacha familia zao halafu wakalale, hakuna kulala mpaka kieleweke.wanahangaika nini saa saba usiku, si walale!
upuuzi mtupu
Eti katukanwa vibaya sana na wafuasi wa CDM, angewateka basi kam walivyofanya CCM mbele ya Wassira.Ndugu Nanyaro heshma mbeeeele kama tai, Mkuu tupe kinachoendelea mara baada ya huyo kijana wa CUF kuamua KUTUPA KIPANDE CHAKE CHA DHAHABU chooni kwa kuwashambulia kimwili wapiga kura wake watarajiwa.
Hivi mtu ajipange kuzusha kitu itamsaidia nini katika jamii ya watu weledi kama sisi? Sina jinsi ya kukushawishi zaidi ya hapo,h
KAMA unajifunza utunzi wa riwaya basi am sorry kukueleza kwamba hiyo kazi haikufai kv huna kipaji hicho!!!! Simulizi yako ina mapungufu mengi ya kitaalamu!!!
***Hadithi haina mvuto
***Hakuna msuko mzuri wa matukio/kimsingi, msuko wa matukio haumshawishi msomaji kutamani kuendelea kusoma baada ya hii DIBAJI.
***Simulizi haina uhalisia...hata kama ni ya kubuni, uhalisia ni muhimu
***Baadhi ya wahusika wa hadithi walipotea kienyeji
***Kuna mapungufu makubwa ktk matumizi ya mandhari
Tunashukuru kwa hii update, sasa hii ina sura ya taarifa. Pole kamanda.Wakuu,ni kweli green guard walituteka usiku,tukielekea kulala,ghafla gari ilifunga break mbele yetu,kisha mabaunsa wakatuteka,na gari aina ya Landcruiser kuondoka kwa kasi ya ajabu,kuelekea porini,ndani ya gari tulilazimishwa kunyanyua mikono juu,
Tukiwa ndani ya gari,hawa mabaunsa wanne walitutaka tuombe sala za mwisho,kwani ndio mwisho wetu,porini gari ikapunguza mwendo sana,kama vile inataka kusimama,ndipo ghafla nikarukia kwenye sterling,hivyo gari kukosa mwelekeo na kusimama porini na hapo purukushani ikaanza,sisi tukipambana nao,ndipo wakatuzidi na kututupa porini,tukakomaa porini hadi asubuhi
Asubuhi tukaenda polisi kuripoti ndipo tukakuta tayari hawa wahuni walishafika na kudai eti sisi ndio tumewateka,baada ya kutoa maelezo upelelezi unaendelea
Kimsingi bado tupo Imara,na mapambano yanaendelea
Tunazidi kuwaombea, tupo pamoja nanyi katika sala. Mungu atawasimamia daima! Poleni sana.Wakuu,ni kweli green guard walituteka usiku,tukielekea kulala,ghafla gari ilifunga break mbele yetu,kisha mabaunsa wakatuteka,na gari aina ya Landcruiser kuondoka kwa kasi ya ajabu,kuelekea porini,ndani ya gari tulilazimishwa kunyanyua mikono juu,
Tukiwa ndani ya gari,hawa mabaunsa wanne walitutaka tuombe sala za mwisho,kwani ndio mwisho wetu,porini gari ikapunguza mwendo sana,kama vile inataka kusimama,ndipo ghafla nikarukia kwenye sterling,hivyo gari kukosa mwelekeo na kusimama porini na hapo purukushani ikaanza,sisi tukipambana nao,ndipo wakatuzidi na kututupa porini,tukakomaa porini hadi asubuhi
Asubuhi tukaenda polisi kuripoti ndipo tukakuta tayari hawa wahuni walishafika na kudai eti sisi ndio tumewateka,baada ya kutoa maelezo upelelezi unaendelea
Kimsingi bado tupo Imara,na mapambano yanaendelea
Wakuu,ni kweli green guard walituteka usiku,tukielekea kulala,ghafla gari ilifunga break mbele yetu,kisha mabaunsa wakatuteka,na gari aina ya Landcruiser kuondoka kwa kasi ya ajabu,kuelekea porini,ndani ya gari tulilazimishwa kunyanyua mikono juu,
Tukiwa ndani ya gari,hawa mabaunsa wanne walitutaka tuombe sala za mwisho,kwani ndio mwisho wetu,porini gari ikapunguza mwendo sana,kama vile inataka kusimama,ndipo ghafla nikarukia kwenye sterling,hivyo gari kukosa mwelekeo na kusimama porini na hapo purukushani ikaanza,sisi tukipambana nao,ndipo wakatuzidi na kututupa porini,tukakomaa porini hadi asubuhi
Asubuhi tukaenda polisi kuripoti ndipo tukakuta tayari hawa wahuni walishafika na kudai eti sisi ndio tumewateka,baada ya kutoa maelezo upelelezi unaendelea
Kimsingi bado tupo Imara,na mapambano yanaendelea
Kwanini wewe Mtumishi kila Bigirita anapoguswa huwa unajitokeza haraka sana????? mbona hayo maneno ya liverpoolfc ni ya kawaida ukilinganisha na wachangiaji wengine. No!!!! acha kutisha members kwa sheria wewe pia ni mtu si roboti jirekebishe.