Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
kupingana na msimamo wa mtu au mbunge ni jambo la kawaida na haina shida kosa ni kwenda kinyume na msimamo wa chama au maamuzi ya chama.....kwani hata wewe hujawahi kikiuka msimamo wa baba yako au kamaa yako yoyote?Inanipatia wasiwasi kuwa diwani wa Mbeya mjini amekiuka msimamo wa Mbunge wake Mh Joseph Mbilinyi kuwa Fiesta chini ya Clouds Fm hawatakwenda Mbeya kwa madai kuwa ni Mafisadi na wahujumu miradi ya watu wengine ikiwemo Project ya Malaria ambayo ilikuwa mali ya Mh Joseph Mbilinyi Maarufu kama Mr II
Nimeamini mkuu kweli Clouds ni mabingwa wa fitna, Sugu aachane nao tu.Clouds ni mabingwa wa fitna...wamefanya makusudi kuwarekodi Zitto na sasa diwani wa Mbeya (CDM).....
mkuu naona umekuja kama wenzakoHawa wenzetu naona wameshaanza kutofautiana, na hii ni dalili kuwa chama kina ufa mkubwa. Usije ukashangaa huyo diwani Geoffrey Kajigili akampinga Mbowe kufanya maandamano yao yasiyo na tija. Ha ha ha ha ha ha
we ni kibogoyo wa ubongo.Hawa wenzetu naona wameshaanza kutofautiana, na hii ni dalili kuwa chama kina ufa mkubwa. Usije ukashangaa huyo diwani Geoffrey Kajigili akampinga Mbowe kufanya maandamano yao yasiyo na tija. Ha ha ha ha ha ha