Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Inanipatia wasiwasi kuwa diwani wa Mbeya mjini amekiuka msimamo wa Mbunge wake Mh Joseph Mbilinyi kuwa Fiesta chini ya Clouds Fm hawatakwenda Mbeya kwa madai kuwa ni Mafisadi na wahujumu miradi ya watu wengine ikiwemo Project ya Malaria ambayo ilikuwa mali ya Mh Joseph Mbilinyi Maarufu kama Mr II