Diwani wa Chadema Tangazo la Fiesta

Diwani wa Chadema Tangazo la Fiesta

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
830
Reaction score
184
Inanipatia wasiwasi kuwa diwani wa Mbeya mjini amekiuka msimamo wa Mbunge wake Mh Joseph Mbilinyi kuwa Fiesta chini ya Clouds Fm hawatakwenda Mbeya kwa madai kuwa ni Mafisadi na wahujumu miradi ya watu wengine ikiwemo Project ya Malaria ambayo ilikuwa mali ya Mh Joseph Mbilinyi Maarufu kama Mr II
 
Fiesta ni social event na sidhani kama kwa namna yoyote ile kuna haja ya kuunganisha na siasa za maji taka

kwa fiesta, sugu alikosea na ndio maana kakaa kimya
 
Inanipatia wasiwasi kuwa diwani wa Mbeya mjini amekiuka msimamo wa Mbunge wake Mh Joseph Mbilinyi kuwa Fiesta chini ya Clouds Fm hawatakwenda Mbeya kwa madai kuwa ni Mafisadi na wahujumu miradi ya watu wengine ikiwemo Project ya Malaria ambayo ilikuwa mali ya Mh Joseph Mbilinyi Maarufu kama Mr II
kupingana na msimamo wa mtu au mbunge ni jambo la kawaida na haina shida kosa ni kwenda kinyume na msimamo wa chama au maamuzi ya chama.....kwani hata wewe hujawahi kikiuka msimamo wa baba yako au kamaa yako yoyote?
 
Hawa wenzetu naona wameshaanza kutofautiana, na hii ni dalili kuwa chama kina ufa mkubwa. Usije ukashangaa huyo diwani Geoffrey Kajigili akampinga Mbowe kufanya maandamano yao yasiyo na tija. Ha ha ha ha ha ha
 
Clouds ni mabingwa wa fitna...wamefanya makusudi kuwarekodi Zitto na sasa diwani wa Mbeya (CDM).....
 
Hawa wenzetu naona wameshaanza kutofautiana, na hii ni dalili kuwa chama kina ufa mkubwa. Usije ukashangaa huyo diwani Geoffrey Kajigili akampinga Mbowe kufanya maandamano yao yasiyo na tija. Ha ha ha ha ha ha
mkuu naona umekuja kama wenzako

karibu sana, mkishamalizika mleteni kabisaaaaa katibu mkuu wenu
 
Hawa wenzetu naona wameshaanza kutofautiana, na hii ni dalili kuwa chama kina ufa mkubwa. Usije ukashangaa huyo diwani Geoffrey Kajigili akampinga Mbowe kufanya maandamano yao yasiyo na tija. Ha ha ha ha ha ha
we ni kibogoyo wa ubongo.
siku tisini zimeisha wakumbushe magamba wachangamke kabla hatujaanza maandamano.
 
Mkuu wa Mkoa/Mkuu wa Wilaya wana mamlaka ya kuweza kuzuia mikusanyiko ya aina yoyote katika Mkoa/Wilaya, na sio Mbunge!
 
Eti nimesikia jingle nyengine, Sugu mwenyewe akihamasisha watu kwenda fiesta , inaonekana ni ya siku nyingi kipindi yuko nje ya nchi. Kweli Clouds n wazee wa fitna,
 
Back
Top Bottom