Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

DUUH! KWELI BINADAMU WAKIAMUA KUKUCHAFUA NA KUKUSHUSHA HAWAKUACHI SALAMA
SAFARI HII MBOWE HACHOMOKI KWA HAWA VIUMBE
WAMEMUAMULIA KWAKWELI.... [emoji27][emoji27][emoji27]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kila siku Uzi ni juu ya mbowe tu? Hapana mtamtenda Mungu dhambi kama, mbowe hana dola angekuwa ametiwa nguvuni na intelegensia ya Tanzania, for this moment I stand with mbowe
 
DUUH! KWELI BINADAMU WAKIAMUA KUKUCHAFUA NA KUKUSHUSHA HAWAKUACHI SALAMA
SAFARI HII MBOWE HACHOMOKI KWA HAWA VIUMBE
WAMEMUAMULIA KWAKWELI.... [emoji27][emoji27][emoji27]


Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ni ujinga huu wanaofanya,hawa watu wazima waongo wanavyozidi kushika chati nchin,wataitumbukiza pabaya sana nchi hii,hasa vizazi hivi vinavyokuja,wakutane Na midume inayojikomba kwa ajili ya matumbo yao,tutawaharibu watoto Wetu wakiiga hii tabia

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Mimi kinachonisikitisha Kwa sasa, ni kuona Watanzania wengi wakiongezeka Kwa Kasi kuwa na chuki na Mzee Mbowe,

Na chuki Yao ikihusisha maswala magumumagumu Sana, Jambo la Kwanza unajiuliza

Je, Watanzania wamekumbwa na nini kiasi cha kumchukia hivi mh Mbowe?

Je, Mbowe Kwa sasa amekumbwa na gundu ghafla kiasi cha kukaa akisemwa semwa na kuchukiwa

Au, ni kweli kwamba yanayosemwa yanaukweli, na Kwa nini iwe nyakati hizi ambazo ukizipima zimekuwa ni nyakati ambazo joto la siasa limekuwa liko juu Sana?

Ni Kwa sababu aliokuwa akifanya nao mambo Kwa Siri wengi wao wemeamua Kuokoka na wengine wao kufukuzwa?

Kwa kuwa kazi ya shetani ukiamua kumtumikia ni lazima tu siku moja akuaibishe,Je shetani sasa ameamua aanze kumdharilisha mh.?

Lakini swali langu gumu hasa Kwa hao wanaotangaza maasi ya Mh!

Mnadhani kwamba yeye Mh, ameamua kujichoka ili Hali akijua kwamba Kwa namna yoyote iwavyo hawezi kuanza kujiingiza kwenye Moto huku akijiona, Mnadhani kwamba, ni rahisi kwake kukorofishana na watu wenye Siri zake ili ajikamatishe police?

Hizi sio mihemko tu ya kisiasa?

Na Kwa nini ninyi mnaomshambulia Mh, Kwa dhambi kubwa hizi zisizovumilika Kwa namna yoyote Ile, Kwa Taifa na Jamii, Kwa nini sasa msjitokeze hadharani kutafuta wadhamini kama mtahitaji hivyo ili Mbowe afikishwe mahakamani mkiwa na ushahidi huu mnaoendelea kuandika humu

Na la sivyo, Chadema sasa mfike pahala muwafungilie mashitaka watu hawa, Kwa sababu tuhuma hizi zinaendelea kukichafua Chama na m/kit wenu,

Ama mh Mbowe sasa aingie mahakamani mwenyewe, Kwa Maana akinyamaza watu wataamini hivyo
 
Hakuna kitu dhaifu kikaonea

Sent using Jamii Forums mobile app

Udhaifu ni kushindwa kufanya kwa usahihi jukumu lako, kuonea ni matumizi mabaya ya mamlaka yako. Sasa udhaifu hapo upo kwenye kushindwa kutekeleza majukumu stahiki kwa usahihi, kisha ukatumia mamlakani yako vibaya kumkandamiza mwingine. Nadhani kwa sasa umepata utofauti wa haya maneno mawili.
 
Umemaliza kazi

In God we Trust
 
Hujielewi! Ni nani tunaemlipa kulinda watu na mali zao!?
Nani anaechunguza kukamata na kushtaki!?

Utamlalamikia vipi mtu anaeuwa watu kwa maslai yake, badala ya kulalamika kwa nn polisi hawamkamati?

Waliompiga diwani mapanga au waliompiga lisu risasi kama wametumwa na mbowe ndo hawatakiwi kukamatwa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…