USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Jina la malaya wa kimboka hiliKumbe nmekushauri mtafute yule bb kizee akusaidie kujua maana yaa jna hlo co unaweweseka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina la malaya wa kimboka hiliKumbe nmekushauri mtafute yule bb kizee akusaidie kujua maana yaa jna hlo co unaweweseka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kishamba wakati ni jinai hiiKweli siyo nchi ya kuchezea ila acheni kuchafua watu kishamba,Na wala si sifa ya mwanaume kuwa mwongo mwongo Na unafiki,hii nchi mnaipeleka wapi nyie?!!uongo umekuwa sifa!!!?
mwongo atofautiani Na mchawi
Si mfungue kesi nini kinachowashinda?!!
DUUH! KWELI BINADAMU WAKIAMUA KUKUCHAFUA NA KUKUSHUSHA HAWAKUACHI SALAMAKama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.
Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.
Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.
Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.
Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!
Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.
Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.
Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.
Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.
Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kila siku Uzi ni juu ya mbowe tu? Hapana mtamtenda Mungu dhambi kama, mbowe hana dola angekuwa ametiwa nguvuni na intelegensia ya Tanzania, for this moment I stand with mboweKama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.
Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.
Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.
Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.
Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!
Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.
Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.
Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.
Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.
Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga na utoto tuu hamna chochote hapo. Wajinga kama wewe ndo wanafuatilia stori hizi na bado hamfanikiwi kila kukicha.
Nini tena?Hapa yaani you nailed it.
Hujui?
Lakini ni ujinga huu wanaofanya,hawa watu wazima waongo wanavyozidi kushika chati nchin,wataitumbukiza pabaya sana nchi hii,hasa vizazi hivi vinavyokuja,wakutane Na midume inayojikomba kwa ajili ya matumbo yao,tutawaharibu watoto Wetu wakiiga hii tabiaDUUH! KWELI BINADAMU WAKIAMUA KUKUCHAFUA NA KUKUSHUSHA HAWAKUACHI SALAMA
SAFARI HII MBOWE HACHOMOKI KWA HAWA VIUMBE
WAMEMUAMULIA KWAKWELI.... [emoji27][emoji27][emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha! Ha! Ha! Ha! Kuna watu hata kama wanakupinga huwa unawaheshimu, sasa kwa Victoire kuandika "You nailed it" nashangaa maana siamini kama hata huo ugoro kausoma!!
Umemaliza kaziYaani nyie mkilala mnaibuka na mambo yasiyo na mbele wala nyuma kisa CHADEMA. Yaani huwa mnajifanya kuwa mna huruma sana na CHADEMA wakati kila sekunde mnatamani ife ili mfanye sherehe!!
Sisi ni kama kitindi cha ulanzi. Ukikata mwanzi lazima mwingine uchipue!!
View attachment 1458458
Kitindi cha Ulanzi!!
ee mungu muumba mbingu na nchi mbowe ataenda kujibu nini mbele za mungu kwa jinsi alivyo lowa damu kwenye mikono yake kwa maslai yake ya kisiasa hapa duniani.
Mbowe akumbuke dunia tunapita tu na wote tutakufa sasa kwa nini anadhulumu nafsi za watu kwa maisha mafupi ya duniani ?
Sent using Jamii Forums mobile app