NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
kama umekubali kuwa maisha yameboreka hapa tanzania sasa mbona utaki kushukuru kwa muumba wako allah kwa seeikali kusimamia maisha mazuri kwa watanzania ?Hlo halikuhusu nmeumbwa kumsujudia Allah pekee cwezi msujudia bnaadamu jwa kutaka kitu fulan kama mlivyo weng huko zizin lumumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anafahamu kuwa Ben Saanane alipotea muda mfupi tu baada ya kuhoji uhalali wa Phd ya maganda ya korosho
Sasa hizo taarifa mnaleta hapa ndo polisi?Fanya wewe kazi hiyo. Mgawanyo wa majukumu. Kwa sisi wengine Mbowe ni mbaya kuliko Corona. Watu wameuawa, wamefilisika, ndoa zimevunjika na wengine hatuelewi hata kwanini tulipoteza muda kwenye siasa ili tu kuimarisha mfumo wa vyama vingi ili Taifa hili watu wabishane kwa hoja na kuwa na jukwaa mbadala la kusemea.
Sasa anapotokea mtu mmoja kulinda maslahi yake kuliko maslahi ya Chama chenye jasho na damu za wengi na kuliko maslahi ya Taifa hatuna budi kuunganisha nguvu kumdhibiti mtu huyo.
Actually nawashangaa sana usalama wa Taifa na serikali kumwachia Mbowe aiharibu CHADEMA ambayo ilishakuwa Taasis muhimu kwa Taifa hili. Ni bahati mbaya sana.
Pia nawashangaa Wanachadema wenyewe kukaa kimya, kususa na kumuacha afanye atakavyo kana kwamba CHADEMA ina jasho la Mbowe tu. Infact Mbowe hajawahi kupata hasara yoyote wala tabu kwenye CHADEMA. Slaa NDIO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote ni maneno ya kusikia na blah blah
Unawashangaa UWT na GoT kwa kumuacha Mbowe!!?
Haya wamekusikia,wanakuja kwako kutaka ushahidi na vielelezo,usije kulalamika na kulialia tu kijana.
kama umekubali kuwa maisha yameboreka hapa tanzania sasa mbona utaki kushukuru kwa muumba wako allah kwa seeikali kusimamia maisha mazuri kwa watanzania ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hakuna mahali nimendika nikasema ni ukweliAndiko lililojaa hisia bila ya hata chembe ya ushahidi kuthibitisha kama kweli ni uhalisia? Yaani kila hadithi ya kutungwa il mradi anayeshutumiwa ni Mbowe inakuwa ni kweli??
Wenye njaa mnajulikana na pm za kuomba connectionWw tumia akili kutafakari co kila aliekuwepo hapa jukwaan ana njaa,wengne tupo kuwazungumzia wengi wanaoishi ktk umasikin uliotopea huku keki ya taifa ikiliwa na wachache
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ameuwa wengi sana zipo pia tetesi za kutaka kumuuwa zito. Kupanga mumuuwa Dada yeke kisa mali za ukoo kumbuka huyu Dada alikufa kama Regia mtema na chacha Wagwe vifo vyao vinamalalamiko ya mbowe kuhusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye "Wordometer" yangu ya MS,nimepata neno "Mbowe" limeandikwa mara 88,672 kwa mwezi huu tuu hapa JF,mpaka leo hii saa tisa na dakika 18.Mbowe ameshika record mtu anaeongelewa Mara nyingi Tanzania kulipo ata raisi wa inchi.
Big up Mbowe.
Mimi kinachonisikitisha Kwa sasa, ni kuona Watanzania wengi wakiongezeka Kwa Kasi kuwa na chuki na Mzee Mbowe,
Na chuki Yao ikihusisha maswala magumumagumu Sana, Jambo la Kwanza unajiuliza
Je, Watanzania wamekumbwa na nini kiasi cha kumchukia hivi mh Mbowe?
Je, Mbowe Kwa sasa amekumbwa na gundu ghafla kiasi cha kukaa akisemwa semwa na kuchukiwa
Au, ni kweli kwamba yanayosemwa yanaukweli, na Kwa nini iwe nyakati hizi ambazo ukizipima zimekuwa ni nyakati ambazo joto la siasa limekuwa liko juu Sana?
Ni Kwa sababu aliokuwa akifanya nao mambo Kwa Siri wengi wao wemeamua Kuokoka na wengine wao kufukuzwa?
Kwa kuwa kazi ya shetani ukiamua kumtumikia ni lazima tu siku moja akuaibishe,Je shetani sasa ameamua aanze kumdharilisha mh.?
Lakini swali langu gumu hasa Kwa hao wanaotangaza maasi ya Mh!
Mnadhani kwamba yeye Mh, ameamua kujichoka ili Hali akijua kwamba Kwa namna yoyote iwavyo hawezi kuanza kujiingiza kwenye Moto huku akijiona, Mnadhani kwamba, ni rahisi kwake kukorofishana na watu wenye Siri zake ili ajikamatishe police?
Hizi sio mihemko tu ya kisiasa?
Na Kwa nini ninyi mnaomshambulia Mh, Kwa dhambi kubwa hizi zisizovumilika Kwa namna yoyote Ile, Kwa Taifa na Jamii, Kwa nini sasa mkajitokeza hadharani kutafuta wadhamini kama mtahitaji hivyo ili Mbowe afikishwe mahakamani mkiwa na ushahidi huu mnaoendelea kuandika humu
Na la sivyo, Chadema sasa mfike pahala muwafungilie mashitaka watu hawa, Kwa sababu tuhuma hizi zinaendelea kukichafua Chama na m/kit wenu,
Ama mh Mbowe sasa aingie mahakamani mwenyewe, Kwa Maana akinyamaza watu wataamini hivyo
Ukiangalia kwa makini Benson Mramba kaandika bila ya kusema ana hakika. Kwa ivo unakwenda Mahakamani kusema nini??Kwa nini Chadema sasa isilifikishe mahakamani Jambo hili ili kukilinda Chama na m/kiti wake?
Moose tuhuma za mauaji hajaanza leoMkuu, hakuna mahali nimendika nikasema ni ukweli
Hoja yangu imejaa maswali Kwa wanaomtuhumu Mbowe
Maana pia wale wanaomtuhumu Mbowe karibu wote walikuwa waachadema Kwa Maana pengine wanasiri zake!
Tuhuma hizi zimeanza kitambo Sana, Je ni kweli?
Kwa nini Chadema sasa isilifikishe mahakamani Jambo hili ili kukilinda Chama na m/kiti wake?
Mbona mleta uzi katoa hoja zake mbona bovu badala ya kujibu hoja ama kuhojiHizi ni propaganda za kipumbavu na za kipuuzi Tz ina chagamoto nyingi zaidi ya Mbowe nguvu mnazo elekeza kwa kimshusha mbowe mgeziweka kwenye masuala yanayo saidia taifa sio chama, corona ipo maleria ipo elimu bado mbovu sector ya afya ina shida kubwa mnatuletea propaganda za mbowe kila wakati watu ni wale wale....tumechoka tunahitaji national issues plz