Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Acha upotoshaji hapa hoja ni mauji ya vijana kama wewe wasio na hatia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mamlaka husika kapeleke ushahidi
Sasa huku jf watakusaidiaje

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Je, Ni kweli mradi huo wa kilimo uliokuwepo huko ifakara?

Je ni kweli trecta zilinunuliwa bila makubaliano ndani ya Chama?

Kama hayo mambo yalifanyika, nao no ujasiri mkubwa uliopondukia na ishara mbaya ambayo haijawai Kutokea,. Kama la kujiamlia kujinunulia matrecta bila idhini ya wengine, wenye mitazamo ya mbali wanaweza kuhoji pia huo ujasiri ulibebwa na ninindani yake??

Maswali ni Mengi
 
Nmepaelewa sana hapo pa "UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo"

Hakika hayo ni maneo ambayo ukiyasoma ni kama unasikia sauti ya Mbowe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hoja ni mauaji wewe mnywa mbege

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787] Kama ameua si mumfunge au mumnyonge!! Mnalalamika nini sasa wakati mna polisi, DPP office, mahakama na magereza! Kama watu wanaweza kuvunja sheria afu wenye mamlaka walioapa kuzilinda na kuzitetea sheria wanalalamika tu mtandaoni badala ya kuchukua hatua ni dhahiri wameshindwa kuongoza nchi. Umesikia we mnywa gongo.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Hivi haya mabaya ya Mbowe, kama kweli, mbona hamuendi mahakamani? Unataka kutuaminisha, kweli, Kwamba idara zote za usalama zimeshindwa kupata ushahidi wa Maovu ya Mbowe, kama ushahidi upo kwanini hamuendi polisi miaka yote hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bas Mbowe ana nguvu sana. Kama yote haya anayafanya yeye na hana jeshi wala chombo chochote cha dola na wala hakamatwi...the man is very tough. Kamateni na mumuozeshe jela.otherwise hizi ni pambio ibadani. I'm not defending him though.
 
Malalamiko ndio chanzo cha habari tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upotoshaji hapa hoja ni mauji ya vijana kama wewe wasio na hatia

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya. Najua nilichokiandika. Hata mfanye hujuma za kiwango gani, bado ukweli utabaki kuwa ccm sio chama cha kizazi hiki. Ccm inatumia nguvu kubwa na mbinu chafu na nzuri, lakini inapata shida kushinda kwenye uchaguzi kihalali, sababu hasa ni kuwa ccm sio chama cha kizazi hiki. Vijana wa sasa hawavutiwi na ccm bila kujali imefanya nini. Kulazimisha watu kuendelea kuikubali ccm ni sawa na kuwalazimisha vijana wa sasa kukubali miziki ya Sikinde na Ottu jazz, kisha waache miziki ya kina Alikiba, Diamond nk. Hivyo hizi propaganda na siasa chafu dhidi ya cdm bado hazitawabeba maana cdm ni chama cha kizazi hiki, huku ccm kikiwa chama cha wazee na watu wenye uelewa duni wa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…