Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Wewe ndo utulie usiye jua nini unachokiandika baada ya kushikiwa akili yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo utulie usiye jua nini unachokiandika baada ya kushikiwa akili yako.
Huu ni mkakati maalumu ndani ya ccm, ukiangalia haya mashambulizi yameanza rasmi toka mwezi aprili. Kuna mkakati maalumu ndani ya ccm kumwaga watu kwenye mitandao ya kijamii kuelekea uchaguzi mkuu. Makundi hayo yamekabidhiwa kazi za kumsifu Magufuli kwa nguvu zote, kuipamba NCCR mageuzi na kuichafua cdm kwa nguvu zote hasa Mbowe.
Kazi ya kumsifia Magufuli imefanyika kwa nguvu kubwa lakini haileti matunda chanya huku mitandaoni, kwani vyombo vya dola havina nguvu humu. Kazi ya kuipamba NCCR inafanyika lakini haina mashiko maana NCCR haina mvuto. Hivyo kazi kubwa inayofanywa sasa ni kuichafua cdm hasa Mbowe, lengo ni kuwatoa cdm kwenye mstari, na hata cdm au Mbowe wakifungua mashtaka mahakamani wataishia kupotezewa muda, na kesi hizo kutumika kama platform ya kuwachafua zaidi cdm. Kama kweli haya yanayosemwa yana ushahidi mbona vyombo vya dola havichukui hatua? Kama kuna kijana kakamatwa kwa kucheka picha ya rais huku mitandaoni na hivi sasa ana kesi, kipi kinashindikana kwa adui wa ccm kama Mbowe? Hizi ni siasa chafu, na cdm wanatakiwa wazijibie humu humu zinakotolewa, lakini wakienda mahakamani huko hamna chochote watapata, maana hata hizo mahakama ni sehemu ya mkakati wa hizo hujuma za siasa chafu. Uzuri hawa watoa tuhuma tunawamudu vizuri sana humu jukwaani, hasa ukizingatia huku hamna mbeleko ya vyombo vya dola.
Jamaa kichwn nahisi nati imekatikaSasa hapa JF tukusaidie nini?Sirro humjui au ofisi yake ?
Nenda mamlaka husika kapeleke ushahidiFanya wewe kazi hiyo. Mgawanyo wa majukumu. Kwa sisi wengine Mbowe ni mbaya kuliko Corona. Watu wameuawa, wamefilisika, ndoa zimevunjika na wengine hatuelewi hata kwanini tulipoteza muda kwenye siasa ili tu kuimarisha mfumo wa vyama vingi ili Taifa hili watu wabishane kwa hoja na kuwa na jukwaa mbadala la kusemea.
Sasa anapotokea mtu mmoja kulinda maslahi yake kuliko maslahi ya Chama chenye jasho na damu za wengi na kuliko maslahi ya Taifa hatuna budi kuunganisha nguvu kumdhibiti mtu huyo.
Actually nawashangaa sana usalama wa Taifa na serikali kumwachia Mbowe aiharibu CHADEMA ambayo ilishakuwa Taasis muhimu kwa Taifa hili. Ni bahati mbaya sana.
Pia nawashangaa Wanachadema wenyewe kukaa kimya, kususa na kumuacha afanye atakavyo kana kwamba CHADEMA ina jasho la Mbowe tu. Infact Mbowe hajawahi kupata hasara yoyote wala tabu kwenye CHADEMA. Slaa NDIO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unavyogawa cha haramu hapo kimbokaPole yako jitahd kupambana mtt wa kiume usiishi kwa kujipendekeza na kumsujudia kiumbe ipo cku utaombwa hata cha haramu ukajikuta unatoa hv hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hoja ni mauaji wewe mnywa mbegemaCCM pumzi imekata, yameishindwa CHADEMA sasa yameanza kupambana na MBOWE
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Kwa akili yako ulitaka aweke kila kitu hapaUkiangalia kwa makini Benson Mramba kaandika bila ya kusema ana hakika. Kwa ivo unakwenda Mahakamani kusema nini??
[emoji1787][emoji1787] Kama ameua si mumfunge au mumnyonge!! Mnalalamika nini sasa wakati mna polisi, DPP office, mahakama na magereza! Kama watu wanaweza kuvunja sheria afu wenye mamlaka walioapa kuzilinda na kuzitetea sheria wanalalamika tu mtandaoni badala ya kuchukua hatua ni dhahiri wameshindwa kuongoza nchi. Umesikia we mnywa gongo.
Hivi haya mabaya ya Mbowe, kama kweli, mbona hamuendi mahakamani? Unataka kutuaminisha, kweli, Kwamba idara zote za usalama zimeshindwa kupata ushahidi wa Maovu ya Mbowe, kama ushahidi upo kwanini hamuendi polisi miaka yote hiiKama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.
Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.
Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.
Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.
Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!
Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.
Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.
Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.
Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.
Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe pia umeolewa ukazalishwa na kuachwaNmekwambia nina wake wawili na wtt sita huku kila mke akiishi ktk nyumba yake bdo nafac mbili ukijiona unakidhi vgezo utakuwa watatu ucjali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka leo hawataki dereva ahojiwe kwa sababu anajua ukweli wa mambo yote.
Hivi haya mabaya ya Mbowe, kama kweli, mbona hamuendi mahakamani? Unataka kutuaminisha, kweli, Kwamba idara zote za usalama zimeshindwa kupata ushahidi wa Maovu ya Mbowe, kama ushahidi upo kwanini hamuendi polisi miaka yote hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Malalamiko ndio chanzo cha habari tulia[emoji1787][emoji1787] Kama ameua si mumfunge au mumnyonge!! Mnalalamika nini sasa wakati mna polisi, DPP office, mahakama na magereza! Kama watu wanaweza kuvunja sheria afu wenye mamlaka walioapa kuzilinda na kuzitetea sheria wanalalamika tu mtandaoni badala ya kuchukua hatua ni dhahiri wameshindwa kuongoza nchi. Umesikia we mnywa gongo.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Acha upotoshaji hapa hoja ni mauji ya vijana kama wewe wasio na hatia
Sent using Jamii Forums mobile app